Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

We tulikuamini sana lakini sasa unakuwa mbwa yani wajibu wako kubweka ili anayekufuga aendelee kukulisha.nimekupuuza
Kwanini utegemee mtu mwingine kukujengea wewe msimamo? Jenga wewe misimamo yako tena iwe zaidi ya Michael. Kama huwezi kaa kimya na ka pseudoname kako la JF!
 
Watanzania mna matazo sana sijui mnataka muuongozwaje tu,!!!yani mazur yote rais anafanya lakin mtu anabeza jaman hebu tufikilie sana juu ya swala ka la zito ni la kipuuzi sana na mtu huyu ni wa kuogopa ka ukoma kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu unajua maana ya mazuri, hatutaki kuongozwa kwa kuburuzwa, tunataka tuchagie viongozi tuwatakao na sio kupatiwa viongozi kwa utashi wa rais.
 
Hakuna mahali wamesema Zitto kaandika wala kutuma barua hiyo. Uwe unatumia ubongo kufikiri
 
Kwani huo mkopo usipokuwa atakae umia ni nani. By the way sasa imedhihirisha bila chenga kua Zitto ndio alikuwa anamtuma Erick kuchapisha zile makala kule the Economist, naona sasa ameamua kuingia front yeye mwenyewe, one man army:)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana mdogo unakubali kuambatana na wachawi? Hebu angalia jinsi thamani yako ilivyo teremka na kuwa takataka mbele ya jamii! Je, Zitto kutafsiri maneno haya amedanganya nini? Mbona kila bovu aongealo huyu mnageuza kuwa hajaeleweka wakati yako wazi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi nilikuwa namuamini sana Zitto..

IMG_20200125_234035.jpg
 
Zitto Kabwe aitwe kwenye kamati ya maadili ya bunge. Kwa mbunge tabia kama hii ya mbunge kuichongea nchi yake kwenye vyombo vya kimataifa ni mbaya sana na haikubaliki. Ni kosa kubwa sana kupita lile la Nathali. Apigwe ban ya kutohudhuria mikutano mitatu ya bunge. Maana yake ndiyo by by kwani uchaguzi mkuu ujao hatapata hata kura moja!
 
Hapa chini ni gazeti la ''The Guardian'' la Uingereza la leo huhusu mkopo kutoka WB.

''
Human rights

World Bank urged to scrap $500m loan to Tanzania over schoolgirls' rights concerns

Campaigners say education funding would be ‘inappropriate if not irresponsible’ in light of ban on pregnant girls attending school


Global development is supported by

About this content


Karen McVeigh


Sun 26 Jan 2020 06.00 GMT

An opposition MP and activists in Tanzania are urging the World Bank to withdraw a $500m (£381m) loan to the country, amid concerns over deteriorating human rights, particularly for women and girls.

In a letter addressed to the bank’s board members, Zitto Kabwe said he feared the money would be used by the ruling party “to distort our electoral processes’” and ensure an easy victory in an election year.

Kabwe, the leader of the alliance for change and transparency party, urged the bank to suspend any loans until “checks and balances” including a free press, free and fair elections, and the reinstatement of the controller and auditor general, are restored in the country.

In a separate letter to the bank, which is Tanzania’s biggest external lender, civil society organisations said it would be “inappropriate if not irresponsible” to approve the loan, which is for an education project, without conditions placed on the government that include introducing legislation to allow pregnant girls to stay in school.

The letter, sent anonymously because of fear of reprisals, catalogued a series of recent crackdowns by the Tanzanian government on NGOs, the media, and individuals critical of the government.

Under John Magufuli, who became president in 2015, the government has forced girls to undergo pregnancy tests and excluded thousands of them from school, said the letter. The government was also accused of encouraging the flogging of schoolchildren, clamping down on family planning services and branding them a western “plot” to reduce the population, and ignoring multiple cases of rape and murder of women in western Tanzania.

Approving the loan would deliver a “slap in the face” to women and girls, and would represent a “full-throated endorsement of this violently misogynist regime”, said the organisations.

The letter calls on the bank to postpone the loan until the government has put in place measures to demonstrate a commitment to “gender equality and the rule of law”. The loan will be considered by the bank’s board of directors on Tuesday.

Anonymous Tanzanian analyst

Earlier this week, Amnesty International and Human Rights Watch, which has documented the declining climate for activists under Magufuli, called for the immediate releaseof human rights lawyer Tito Elia Magoti and IT expert Theodory Giyani. They are being held on “spurious charges”, including leading organised crime and money laundering, the groups said.

In 2018, the bank withdrew a $300m loan to Tanzania amid concerns over its policy of expelling pregnant girls from school.

Tanzania has one of the highest adolescent pregnancy rates in the world, with widespread sexual violence and girls exchanging sex for school fees, food and shelter, according to the UN.

Last September, the bank approved a loan of $450m, its first since the withdrawal of funding in 2018, after Tanzania amended a law that had made it illegal to question official statistics. In his letter, Kabwe said the loan had “emboldened” the government and made the human rights situation worse.

The new loan could provide “urgently needed support to Tanzania’s education sector and schoolgirls in particular”, rights groups acknowledged in their letter, but said the government “cannot be trusted to implement this project as designed”.

In a country where “parliament, the judiciary, the controller and auditor general and opposition parties had been neutered”, said the letter, the bank had an “extra obligation” to act.

The groups suggest the bank makes the loan conditional on legislation that affirms the rights of pregnant schoolgirls to education, restores access to family planning, and reforms a law allowing the government to de-register NGOs. The letter also calls for the release of journalists and civil society activists.

Jean Paul Murunga, a programme officer at Equality Now, an advocacy group that has been lobbying to end school expulsions in Tanzania, urged the bank to suspend the loan and begin a dialogue with Tanzania’s government.

“The government of Tanzania has ignored the voices of the African civil society groups and has given them no option,” said Murunga. “As a human rights defender I support this action if that’s what it takes to alert the international community and get the government to listen.”

A Tanzanian social analyst, who did not want to be named for fear of repercussions, said: “Girls at school are unsafe. They get beaten, sexually harassed, and sex for grades is a common thing. The comments by Tanzania’s leadership in the country have given an open licence to abusers of girls.

“It is really sad. The reason the bank withdrew the loan in 2018 in the first place remains, and is getting worse. There are no assurances that the government won’t continue to shut out girls who are pregnant, in the most humiliating way. This money will be seen as an endorsement of a misogynistic regime.”


Zito Kabwe anaonyesha kwamba yeye ana uwezo kabisa wa kushawishi World Bank wamsikilize kwa faida ya wanafunzi wanaopata mimba wakiwa kwenye shule za msingi. Zito Kabwe alisoma kwa pesa za walipa kodi na hivi sasa anaona nongwa kwa nini wengine wasome kama yeye.

My pick, time will tell if he is right. As far as I know WB will agree on this loan this Tuesday because the custodian of The United Republic of Tanzania is not Zito and his cahoots. It will be a shame as the WB would like to mend their differences with one of the influential country in Africa.

ZK utajificha wapi baada ya hili sakata? Ukae ukielewa Tanzania sio yako pekee, bado tuna kumbukumbu ya ulivyozusha kifa cha JPM na kuleta taharuki, hicho tumeweka kiporo.
 
Tunapaswa kukupuuza! Hivi binti aliyepewa mimba anahukumiwaje maisha yake yote?

Panua ubongo kabla upanue vidole

Nanyaro nashukuru uko hapa kuna uzi wako huku ndani lakini hujauleta wewe. Ngoja nikuulize hapa hapa, hivi mna mpango gani na tume huru ya uchaguzi? Kwanini wapinzani wasipeleke hati ya dharura bunge hili kudai tume huru ya uchaguzi? Mnaamini kweli kuna uchaguzi katika mazingira haya? Ni vyema mkaidai huko bungeni, ikipigwa chini mje huku nje tuutie shombo huo uchaguzi.
 
WB ni wafanya biashara, wakikataa kuna benki zingine wataikopesha Tanzania.
 
Back
Top Bottom