daviey69
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,234
- 873
Hata huku mjini sitaki kabisa, nasema nehiii!Habari yako mkuu?
Teh! haya tunakutana nayo huku huku mjini....
Nivae KIBINI DOI?
Ushoooo nakaiting'oo!
Hata huku mjini sitaki kabisa, nasema nehiii!Habari yako mkuu?
Teh! haya tunakutana nayo huku huku mjini....
nothing is complete new chini ya jua tunafanya marudio tuuu ya mamboHaya mambo kumbe yanajirudia rudia?
Kweli hakuna jipya chini ya jua yote ni yale yale, hizi stori zinafanana fanana!
Dah... Jamani yasikieni tu MAHABA NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALAYSIA...
Unazungumzia kuchangia mswaki mbona hiyo simple, niliwahi kudate na mkaka mmoja Mtanga wee tulikuwa tunatafuniana nyama mpaka inakuwa laini kisha tunalishana kwa mdomo!!!
Khaaaa... Sitamani hata kukumbuka make baada ya kuachana ndio nikapatwa na kinyaa!!!
so wewe haupigi denda..,???,coz nayo inakuwa excreted kinywani...,Kwanini mchangie mswaki,unajua kinywa ni sehemu ya pekee chenye vijidudu vingi kuliko sehemu yoyote nyingine.....Mswaki kila mtu awe na wake,na ikitokea mmetumia mmoja basi kulikuwa hakuna option nyingine.....
Poa, lakini pia usiache kuchangia mswaki na kipenzi chako, mdomo nyumba ya maneno kuyazuia yasitoke hatuwezi.
Ukiwa kwenye mahuciaano...unakuwa kichaa.....punguza
so wewe haupigi denda..,???,coz nayo inakuwa excreted kinywani...,
nitachangia vitu vyote lakini sio mswaki best
yani wewe uko kama mimi lolz
..mbaya zaidi mpenzi wangu yeye anaona kushare ni sawa tu, tena huwa anahisi namtenga/nambagua au simwamini. Nilichofanya nahakikisha mswaki wangu haupo ulipo wa kwake ..kwi kwiiiiiii
Kusema mchangie mswaki ni kama unasema mchangie toilet paper aliyoshatumia...
Mapenzi gani tunachangia mswaki, imekua taulo hiyo, hata ulivosema kwenye nguo za ndani, mwanaume atupie bikini, si kichekesho hicho...
Wewe mbinafsi .
Kama mic unacheza nayo sheli unaigia itakuwaje ushindwe kuchangia mswaki? nikitu gani kilicho kibaya hapo!