Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,598
- 126,222
Ni kweli usemacho, ukiwa msafu mdomoni mwako hata ukiamka mdomo hautoi harufu...
Twin Khantwe, fanya majaribio haya. Ukimaliza kula chakula cha usiku piga mswaki vizuri na asubuhi ukiamka kunywa maji. Hutohisi harufu mbaya kinywani!!
Huwa nafanya hivyo twin....kwa hyo kabla ya morning glory unainuka kwanza kunywa maji?
Last edited by a moderator: