Kwako ni nini sasa?
Kwangu Mimi ni big NO
Dah... Jamani yasikieni tu MAHABA NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALAYSIA...
Unazungumzia kuchangia mswaki mbona hiyo simple, niliwahi kudate na mkaka mmoja Mtanga wee tulikuwa tunatafuniana nyama mpaka inakuwa laini kisha tunalishana kwa mdomo!!!
Khaaaa... Sitamani hata kukumbuka make baada ya kuachana ndio nikapatwa na kinyaa!!!
Sijakuelewa unavaa bikini ya mkeo?
Hivi kuna watu wanachangia mswaki?...mm nachangia kitanda,mashuka,taulo,labda nayeye kuvaa tshet zangu na vitana
Nikikosa wangu wake natumia,boxer yake nashindia mie..haaa sasa nini maana ya kua mwili mmoja alaaa....