Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

habari tanzania,

nauza samaki wa mapambo kwa bei nafuu sana

aina zangu ni


1.gold fish
ambao kuna salasa
kuna telescope
shubkin
na
redcape

bei zake kwa upande wa gold kuna 10000 kwa jike na dume na kuna wa elfu 20 jike na dume na pia wa elfu 30 kwa jike na dume

aina nyingine ni gulam
ambao ni elfu 20 kwa pea

kuna black more
elfu kumi kwa pea


gapi aina zote kwa elfu kumi kwa pair

red fish ni sh elfu kumi kwa pair


asante sana napatikana dar

nitakuletea popote ulipo ndani ya jiji la dar kama hutakosa mda wa kuja kuwaona

picha zaidi zinapatikana whats app kwa number hii 0712505049

Asante kwa taarifa.

We unadizaini samaki tu hakuna zaidi?!
 
Ukikua utaelewa.

ila kwa,kipindi hichi jijengee utamaduni wa kuswaki na kunywa maji kabla ya kulala. Ukiamka mdomo unakuwa haunuki kama choo cha bar.
Mkuu nitake radhi, nakubali utafanya hayo yote kusaidia mate yasikauke mdomoni na pengine unaweza stuka usiku ukanywa tena maji lakini kuna uchachu asubuhi lazima utakuwepo ilimradi umelala/ulilala.

Achilia kunuka mdomo mimi nazungumzia uchachu mdomo lazima uwe mzito
 
Mkuu ni kweli kabisa maneno yako ila inataka moyo sana kwa kile cha alfajiri na denda, ha ....

Mkuu haujanijibu kama yule mtoto mkorofi alikuwa mtanga au?
 
Mhhhhh!!!!! Nitachangia vyote lakini si pichu au mswaki ewwwwwwww!!!!!!
puke.gif
puke.gif
 
Mimi nikigundua ananuka kinywa hata denda hanipati. Ntakuwa nakwepesha mdomo kiustadi sana hahahahaha
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kuna tofauti ya kula denda na kushare mswaki, kuzama chumvini ndo kitu gani!?



Ila chumvini unazama kama kawa na denda unapiga?
 
Last edited by a moderator:
Ukikua utaelewa.

ila kwa,kipindi hichi jijengee utamaduni wa kuswaki na kunywa maji kabla ya kulala. Ukiamka mdomo unakuwa haunuki kama choo cha bar.

Hata kama....denda asubuhi hainiingii akilini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom