Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

Hakuna ubinafsi hapo mkuu. Mswaki ni kisafishio ..kinabeba uchafu kibao. Tukutane kwenye dend. na mengineyo ila hapo mie ndukiiii.

By the way .. Vyote havishauriwi kiafya. But mapenzi tu ndio yanatukimbiza, na uzuri hivyo vingine wafanya ukiwa katika dimbwi zito la mapenzi; but mswaki unapiga ukiwa Soba ..kwi kwiiiiiiiiii

Linapofikia swala la mswaki dimbwi la mapenzi linakauka kabisaaaa! ila kwenye maswala mengine aah, dibwi dinbwi dibwi la mapenzi! Watu wanazama mpaka kunako
 
Dah... Jamani yasikieni tu MAHABA NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALAYSIA...

Unazungumzia kuchangia mswaki mbona hiyo simple, niliwahi kudate na mkaka mmoja Mtanga wee tulikuwa tunatafuniana nyama mpaka inakuwa laini kisha tunalishana kwa mdomo!!!

Khaaaa... Sitamani hata kukumbuka make baada ya kuachana ndio nikapatwa na kinyaa!!!
nyama ipi sasa fafanua basi nami nijiongeze
 
sikuwahi hata kuwaza jambo kama hilo jirani we ushawahi kutumia mswaki wa mama yoyo

Huku kwetu haya mambo ya kithugu hayapo.

Halafu pili tunatumia miswaki ya miti sasa hapo kushare inatoka wapi, mswaki wa mti hauwezi kuutumia zaidi ya mwezi ushabadilisha kama mara 15 hivi.
 
hahahahahahha lol!

mara nyingi watu hawazingatii kinywa wao wanaona yafaa sana kuchangia mswaki wakati hawajui maambukizi kupitia kimywa
yani wewe uko kama mimi lolz
..mbaya zaidi mpenzi wangu yeye anaona kushare ni sawa tu, tena huwa anahisi namtenga/nambagua au simwamini. Nilichofanya nahakikisha mswaki wangu haupo ulipo wa kwake ..kwi kwiiiiiii
 
Mkuu niingie puani nimekuwa hengachifu BING NO!

Mswaki naweza kuchangia kwa upande wangu lakni kwa shariti moja tu kwamba lazima uwe mkavu sio amalize kupiga kisha na mimi nichukue NO.
Ni ngumu sana, lakini kuna viumbe wanafanya ha ....

Ndo maana nikasema binadamu tunatofautiana unaloona kwako gumu mwingine kwake rahisi sana na anaweza akakucheka wewe na kukuona umechelewa.

Labda nimalizie kwa kusema mapenzi uchafu maana unashangaa kwenda puani mwingine anaenda sehemu ambazo hazitajiki
 
Huku kwetu haya mambo ya kithugu hayapo.

Halafu pili tunatumia miswaki ya miti sasa hapo kushare inatoka wapi, mswaki wa mti hauwezi kuutumia zaidi ya mwezi ushabadilisha kama mara 15 hivi.
Mswaki bado ni mtihani sana ngoja nikupe kisa kimoja mimi zamani nilikuwa na kawaida ya kupenda kunusa miswaki popote nitakapoikuta na kwa kweli pamoja ya kuwa ilioshwa/suuzwa baada ya kutumika lakini ukinusa ukiondoa kunukia kwa dawa ya meno kuna mnuko fulani ambao sio mzuri pamoja ya kuwa mnuko umechanganyika na mnuko wa dawa ya meno
 
Hahahahahahahahah............

Mkuu unajua sishangai kwa huo mnuko uliousema.

Kunakisa kimoja cha jamaa mbeba mizigo, wakati anainama kunyanyua mzigo bahati mbaya akawa amemuinamia mbeba mizigo mwenzake kwa kumwelekezea makalio yake,basi jamaa akasikia harufu mbaya akamwambia, aisee unanuka mku.nd**u. Yule jamaa aliekuwa ameinama akamjibu hivi" kama mdomo unakula vitu vizuri lakini bado unanuka itakuwaje mimi kunuka mku***du"

Umenifanya nikumbuke hiki kisa watu tulicheka sana siku hiyo.

Hivyo basi sio ajabu kusikia mswaki unanukaa pamoja kwamba unatumia dawa.
 
Kisa chako kinafurahisha sana na mimi imebidi nicheke sababu kuna ukweli ndani yake
 
Hahahahah!
images
images

watu wabaya humu, ni hatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom