Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe

Tumepewa macho kutazama.
-//-Mdomo kusema.
-//-Pua kunusa
-//-Miguu.....
-//-Mikono....
-//-Kichwa...

Hapa kwetu tuna hadithi na misemo mingi kujihakiki, maana lake mtu halimtapishi..!
 
Chochote (kasoro kuvaa nguo ya kike au mwanamke) chaweza fanyika siwezi kataa sasa afu baadae nifanye muhimu usafi
 
Nipo kiongozi wangu, tutakuwa tunapishana ila mimi nipo sikupatikana juzi tu. Asante kwa kunijulia hali Kiongozi wangu.

Kiongozi huyu binti sitamsahau ujue sikutegemea kitu kama hii, ujue mimi nilikuwa nimejiegesha kwa kochi naona mtoto kaja anaanza kunibinua pua kwa ndani kaanza tundu ya kwanza akaja ya pili sikuelewa lengo lake mara baada ya kumaliza kukagua akaanza kuingiza ulimi kwenye matundu ya pua ha ....

Hahahahah! mkuu hii kali kweli alikuwa mtanga nini?
 
Unakumbuka lilitangazo la dawa fulani ya mswaki?kuna vijidudu wanaonyesha kitaalamu vipo kwenye fizi sasa kula hisia demu kaviacha kwenye mswaki then wewe unavizamisha mdomoni kwako bonge la uchafu na kinyaa....

Vipi kwani kuna tofauti na wanaokula denda
 
he hehe, nahisi ulirudia kwa kutumia wa mti.

Nakumbuka kuna siku nilisahau hivi mswaki wangu ni wa blue au mwekundu. Nikamix... dah nilijisikia kama sikuswaki nilipokuja kugundua
 
Hahahahah! mkuu hii kali kweli alikuwa mtanga nini?
Mkuu inatosha details nyingine tunazificha kwa usalama wa binti, ujue kuna binadamu wana moyo mgumu sana mimi na ziki yangu hata binti/bibie/jimama aweke shilingi ngapi sifanyi hiyo.

Kweli kila binadamu ana moyo wake au naweza sema tunapishana, ninaloliona mimi kwangu zito kwa mwingine jepesi.

Masikio sawa lakini pua inaogopesha.

Hebu tujiulize mimi na wewe mkuu kwa upande wangu mswaki siwezi kuchangia ndio itakuwa kuingizana ulimi puani?

Kiongozi samahani lakini, wewe mrembo ikitokea umependa sana unaweza kweli ingiza ulimi wako kwenye pua zake?
 
Labda nikuulize mkuu...alichokuwa anakifanya kilizaa matunda au tuseme ulipagawa kimtindo kutokana na hilo tendo...ujue mi naona kuna viuongo vingine haviko romantic kabisaa
 
Kwanini mchangie mswaki,unajua kinywa ni sehemu ya pekee chenye vijidudu vingi kuliko sehemu yoyote nyingine.....Mswaki kila mtu awe na wake,na ikitokea mmetumia mmoja basi kulikuwa hakuna option nyingine.....
 
Labda nikuulize mkuu...alichokuwa anakifanya kilizaa matunda au tuseme ulipagawa kimtindo kutokana na hilo tendo...ujue mi naona kuna viuongo vingine haviko romantic kabisaa
Nilipigwa na butwaa/nilipagawa sababu sikutegemea kitu kama hicho, kwa kweli nilistuka nikaona natekenywa ila nikamuacha aendelee hadi alipomaliza yeye alichokuwa anakifanya, ila kusema ukweli mimi sijahisi chochote zaidi ya mstuko na kubaki na mshangao wa hali ya juu sababu haijawahi tokea mambo ya hivyo katika utundu wangu wote.

Halafu sio kuwa tulikuwa tunagegedana au tulikuwa tunataka kugegedana hapana nilikuwa nimejikalia tu sina hili wala lile na hata yeye baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori.

Kawaida tu hamna lolote
 
Aisee hata kama mnasema mapenzi ni uchafu this is thrii machi
 
Hamtaki kushea miswaki halafu mnapigana denda kila saa. Hiyo ni nini sasa? Kweli wanadamu ni wanafki aisee.

Vipi kwani kuna tofauti na wanaokula denda
Wakuu denda linakuwa na maandalizi tofauti na mswaki ambao matumizi yake kabla ya kulala na baada ya kuamka mdomo ukiwa mchachu, hiyo ni sawa na kulana mate alfajiri wakati midomo imechacha hapana mkuu
 
Samahani mkuu, hivi kuna wanaoamka na kupiga mswaki afu wanarudi kupata "Morning Glory" au huwa wanapata "Morning Glory" kibubububu??? :becky: :becky:
 
Hapo inabidi kusitisha zoezi la denda yaendelee mengine sababu maandalizi sio denda tu, bora kibubububu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom