Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

Phlagiey

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
3,500
Reaction score
1,688
Mapenzi Yakinoga

Jamani usiombe mapenzi yakakunogea utatamani ugandane na mpenzi wako kila mahala.

Katika kona kona za mapenzi mapenzi leo nimekuta na hii kitu.

Mara nyingi watu wanapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi huwa wanaaminiana kupita kiasi hata kama hawakuwahi kuchunguza afya zao.

Hali hii hupelekea wapenzi kuchangia vitu mbali mbali kama nyembe, mswaki,mkasi hata wengine hufikia hatua ya kuchangia pichuu! "ukivaa BOXER yangu na vaa KIBINI yako"

Hapa leo nitahitaji tuongelea kitu kimoja.

Mswaki,hivi ni sahihi wapenzi kuchangia mswaki?

Na kiafya iko vipi, hakuna magojwa yoyote yanayoweka kutokea kwa kuchangia mswaki?

Au matumaini yetu yako juu ya zile dawa za meno.
 
Dah... Jamani yasikieni tu MAHABA NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALAYSIA...

Unazungumzia kuchangia mswaki mbona hiyo simple, niliwahi kudate na mkaka mmoja Mtanga wee tulikuwa tunatafuniana nyama mpaka inakuwa laini kisha tunalishana kwa mdomo!!!

Khaaaa... Sitamani hata kukumbuka make baada ya kuachana ndio nikapatwa na kinyaa!!!
 
Hivi kuna watu wanachangia mswaki?...mm nachangia kitanda,mashuka,taulo,labda nayeye kuvaa tshet zangu na vitana
 
Dah... Jamani yasikieni tu MAHABA NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALAYSIA...

Unazungumzia kuchangia mswaki mbona hiyo simple, niliwahi kudate na mkaka mmoja Mtanga wee tulikuwa tunatafuniana nyama mpaka inakuwa laini kisha tunalishana kwa mdomo!!!

Khaaaa... Sitamani hata kukumbuka make baada ya kuachana ndio nikapatwa na kinyaa!!!

Hahahahaha. .. hiyo ilikuwa too much
 
mswaki big NOOOOOO
nitautumia kwa bahati mbaya. Lakini nikiwa najua hapana.
 
Dah... Jamani yasikieni tu MAHABA NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALAYSIA...

Unazungumzia kuchangia mswaki mbona hiyo simple, niliwahi kudate na mkaka mmoja Mtanga wee tulikuwa tunatafuniana nyama mpaka inakuwa laini kisha tunalishana kwa mdomo!!!

Khaaaa... Sitamani hata kukumbuka make baada ya kuachana ndio nikapatwa na kinyaa!!!
Sipingi, kuna mabinti wana mambo unanyonywa hadi pua kwa ndani, ha ....
 
Dah... Jamani yasikieni tu MAHABA NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALAYSIA...

Unazungumzia kuchangia mswaki mbona hiyo simple, niliwahi kudate na mkaka mmoja Mtanga wee tulikuwa tunatafuniana nyama mpaka inakuwa laini kisha tunalishana kwa mdomo!!!

Khaaaa... Sitamani hata kukumbuka make baada ya kuachana ndio nikapatwa na kinyaa!!!

Ha!ha!ha! hii imenipa tabasamu la kuanzia weekend!

Mkuu nasikia huko ndiko yamezaliwa hayo makitu.

Huko kila kiungo kinatumika katika mapenzi.

Mpaka ile code namba ya ule mtandao wenye ofa ofa nyingi unatumika?!
 
Unakumbuka lilitangazo la dawa fulani ya mswaki?kuna vijidudu wanaonyesha kitaalamu vipo kwenye fizi sasa kula hisia demu kaviacha kwenye mswaki then wewe unavizamisha mdomoni kwako bonge la uchafu na kinyaa....
 
Mkuu habari ya wewe? kitambo hatujakutana!
Nipo kiongozi wangu, tutakuwa tunapishana ila mimi nipo sikupatikana juzi tu. Asante kwa kunijulia hali Kiongozi wangu.

Kiongozi huyu binti sitamsahau ujue sikutegemea kitu kama hii, ujue mimi nilikuwa nimejiegesha kwa kochi naona mtoto kaja anaanza kunibinua pua kwa ndani kaanza tundu ya kwanza akaja ya pili sikuelewa lengo lake mara baada ya kumaliza kukagua akaanza kuingiza ulimi kwenye matundu ya pua ha ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom