Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

Dah... Jamani yasikieni tu MAHABA NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALAYSIA...

Unazungumzia kuchangia mswaki mbona hiyo simple, niliwahi kudate na mkaka mmoja Mtanga wee tulikuwa tunatafuniana nyama mpaka inakuwa laini kisha tunalishana kwa mdomo!!!

Khaaaa... Sitamani hata kukumbuka make baada ya kuachana ndio nikapatwa na kinyaa!!!

Natamani nkupate weye nikuonyeshe mambo!vip huko 0655 nikiomba utanipa?
 
kama mtu unazama uvinza mpaka kinyeo unakilamba wats wrong with mswaki sema haina manufaa yoyote hata kwenye kuonyesha tu mapenzi. But kama mpenzi wako anapenda na anaona ni mapenzi yo can do it.
 
...:::Mapenzi Yakinoga:::....

Jamani usiombe mapenzi yakakunogea utatamani ugandane na mpenzi wako kila mahala.

Katika kona kona za mapenzi mapenzi leo nimekuta na hii kitu;

Mara nyingi watu wanapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi huwa wanaaminiana kupita kiasi hata kama hawakuwahi kuchunguza afya zao.

Hali hii hupelekea wapenzi kuchangia vitu mbali mbali kama nyembe, mswaki,mkasi hata wengine hufikia hatua ya kuchangia pichuu! "ukivaa BOXER yangu na vaa KIBINI yako"

Hapa leo nitahitaji tuongelea kitu kimoja;

Mswaki,hivi ni sahihi wapenzi kuchangia mswaki?

Na kiafya iko vipi, hakuna magojwa yoyote yanayoweka kutokea kwa kuchangia mswaki?

Au matumaini yetu yako juu ya zile dawa za meno.!

Mweee bikin afu mbupu ztakaaje hapo, na kile kimkanda kipite katkat ya makota ya Nan?hzo ni dalili upunga!
 
Mi hata kwa bahati mbaya situmii. Kwanza siwezi kununua mswaki rangi au muundo mmoja na mpenz wangu.

haha ndio maana nikasema kwa bahati mbaya. Coz zipo sana hizo za kununua sare sare.. But different in colour lolz
 
kaaaaazi kwelikweli haya mwaya
sema tu
Tumepewa macho kutazama.
-//-Mdomo kusema.
-//-Pua kunusa
-//-Miguu.....
-//-Mikono....
-//-Kichwa...

Hapa kwetu tuna hadithi na misemo mingi kujihakiki, maana lake mtu halimtapishi..!
 
nakumbuka enzi hizo nilikua mahaba mahabani nkataka pigia mswaki wa habiby wangu but ye alikataa pigia wangu Moyo uliuma kama unataka toka nkahisi hanipendi....hivi vitu vinawezekana depends na kushibana kwa watu vilevile vinaeza kua vigumu pia even if watu wameshibana,All things are possible
 
Mnhhhhh
 
Mkuu inatosha details nyingine tunazificha kwa usalama wa binti, ujue kuna binadamu wana moyo mgumu sana mimi na ziki yangu hata binti/bibie/jimama aweke shilingi ngapi sifanyi hiyo.

Kweli kila binadamu ana moyo wake au naweza sema tunapishana, ninaloliona mimi kwangu zito kwa mwingine jepesi.

Masikio sawa lakini pua inaogopesha.

Hebu tujiulize mimi na wewe mkuu kwa upande wangu mswaki siwezi kuchangia ndio itakuwa kuingizana ulimi puani?

Kiongozi samahani lakini, wewe mrembo ikitokea umependa sana unaweza kweli ingiza ulimi wako kwenye pua zake?

Mkuu niingie puani nimekuwa hengachifu BING NO!

Mswaki naweza kuchangia kwa upande wangu lakni kwa shariti moja tu kwamba lazima uwe mkavu sio amalize kupiga kisha na mimi nichukue NO.
 
Mbona maungo ya kukojolea mnashea sembuse mswaki
 
nakumbuka enzi hizo nilikua mahaba mahabani nkataka pigia mswaki wa habiby wangu but ye alikataa pigia wangu Moyo uliuma kama unataka toka nkahisi hanipendi....hivi vitu vinawezekana depends na kushibana kwa watu vilevile vinaeza kua vigumu pia even if watu wameshibana,All things are possible
Haya mambo kumbe yanajirudia rudia?

Kweli hakuna jipya chini ya jua yote ni yale yale, hizi stori zinafanana fanana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom