Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

Samahani mkuu, hivi kuna wanaoamka na kupiga mswaki afu wanarudi kupata "Morning Glory" au huwa wanapata "Morning Glory" kibubububu??? :becky: :becky:

Mi mwenyewe huwa najiuliza watu wanapigaje morning glory na ile hali duuh
 
Mswaki na denda ni kipi hatari zaidi? Manake unapozidi kudendeka ndo unazidi kuprodyuzi masalaiva.
Kwanini mchangie mswaki,unajua kinywa ni sehemu ya pekee chenye vijidudu vingi kuliko sehemu yoyote nyingine.....Mswaki kila mtu awe na wake,na ikitokea mmetumia mmoja basi kulikuwa hakuna option nyingine.....
 
Mswaki na denda ni kipi hatari zaidi? Manake unapozidi kudendeka ndo unazidi kuprodyuzi masalaiva.
mswaki hatari kwasababu wengi wana bleed kwenye gums....unaongeza risk ya kuambukizana magonjwa zaidi...
 
Dah... Jamani yasikieni tu MAHABA NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALAYSIA...

Unazungumzia kuchangia mswaki mbona hiyo simple, niliwahi kudate na mkaka mmoja Mtanga wee tulikuwa tunatafuniana nyama mpaka inakuwa laini kisha tunalishana kwa mdomo!!!

Khaaaa... Sitamani hata kukumbuka make baada ya kuachana ndio nikapatwa na kinyaa!!!

Sema hakyamungu.
 
Ukikua utaelewa.

ila kwa,kipindi hichi jijengee utamaduni wa kuswaki na kunywa maji kabla ya kulala. Ukiamka mdomo unakuwa haunuki kama choo cha bar.

Ni kweli usemacho, ukiwa msafu mdomoni mwako hata ukiamka mdomo hautoi harufu...

Twin Khantwe, fanya majaribio haya. Ukimaliza kula chakula cha usiku piga mswaki vizuri na asubuhi ukiamka kunywa maji. Hutohisi harufu mbaya kinywani!!
 
Last edited by a moderator:
Ukikua utaelewa.

ila kwa,kipindi hichi jijengee utamaduni wa kuswaki na kunywa maji kabla ya kulala. Ukiamka mdomo unakuwa haunuki kama choo cha bar.

Aiseeeee!...ulikusudia kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom