Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Haki ya mbuzi kondoo shahidi...
Mbona hujanambia siku zote hizi?
Haki ya mbuzi kondoo shahidi...
mswaki hatari kwasababu wengi wana bleed kwenye gums....unaongeza risk ya kuambukizana magonjwa zaidi...
i thought ukisema ukishare maanake wewe una brush ukimaliza mwenzio ana brush kwahio mswaki haupati muda wakukauka....au?Well, bila kuingia kwenye tafiti za kitaaluma nadhani mswaki unapata masaa ya kukauka baada ya kusuuzwa pia. Kwenye mapenzi ni muhimu kufanya ulipendalo. Hakina formulae
Mkuu ni kweli kabisa maneno yako ila inataka moyo sana kwa kile cha alfajiri na denda, ha ....Wengine match hainogi bila denda!!!
Mkuu ni kweli kabisa maneno yako ila inataka moyo sana kwa kile cha alfajiri na denda, ha ....
Babu mambo ya kidigital haya utayaweza wapi.
Namidomo hamchangii mkuu?
Can't imagine Bossman umetinga kikamba cha mkeo.....(perish the thought).
Ukiwa hot kinyaa hutoweka, ila baada ya game lolest!!!
Thithemi....