Good thing nafuga kuku na Bata nyumbani kwangu
Nawafugia ndani ukiwachinja nyama tamu sana na laini, ila tatizo kuku wanaokulia Juani hali vizuri anakula funza lazima nyama yake iwe jiwe.
Kuna siku nilitembelea parokia fulani ni kakuta wamechinja bata mzinga nikaalikwa na meza imezagaa makali tu , ile miamba ina kula na kunywa aisee ๐
Nyie ndio wale mnaomfanya Mama Samia aseme tupo vizuri kuliko USA na Ulaya...yani mboga yakueka kwenye freazer iliwe week 4 kwa kupokezana na Haragwe na Dagaa wewe unasafisha Day one ๐.
Kwenye zile harakati zako uliwahi kula zile nyama๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ maana juu unasema unakula na visivyo liwa