KUBENEA Vs LOWASSA

Lowasa anazidi kujiwekea rekodi... sasa atakuwa ndie kiongozi aliyepatwa kuandikwa zaidi na kujadiliwa zaidi kuliko viongozi wowote wa Tz katika mtandao wa internet..rekodi zake nyingine zipo hapa
 
Last edited:
Tatizo la Kubenea ni njaa yake, kila uchao yeye na Lowassa ndio uandishi gani huo? Its really boring huyu jamaa ni wa kusamehewa tu. To my best knowledge in assessing leaders there no-one who ticks all boxes. Kubenea wimbo wake Lowasa, Lowasa kisa nini? kanyimwa matangazo! such a selfish guy....
 
Kubenea wembe ni ULE ULE wala usipunguze spidi mpaka tufike au kieleweke !!!!
 
fisadi hatakiwi kupewa pumzi mpaka uaanguke kichwa chini miguu juuu !!!!!
 
--------------------------------------------------------------------------------

Tatizo la Kubenea ni njaa yake, kila uchao yeye na Lowassa ndio uandishi gani huo? Its really boring huyu jamaa ni wa kusamehewa tu. To my best knowledge in assessing leaders there no-one who ticks all boxes. Kubenea wimbo wake Lowasa, Lowasa kisa nini? kanyimwa matangazo! such a selfish guy....
__________________
Mambo si mambo mkulima kala mbegu, habari ndio hiyo!
 


Mimi nawahi kulininua kila likitoka. Kama nimesafiri hata 3 months naagiza muuza magazeti anapitisha nyumbani kwangu nayakuta lundo. Yaani Burudani kwelikweli kulisoma Mwanahalisi.

Siku polisi walipomvamia SHUJAA Kubenea nilikuwa sitting room na watch news, nililia machozi wanangu wakabaki kunibembeleza. Mdogo akauliza kwani nani amekufa mama? Maana anajua ukilia mtu kafa au kapigwa.
 

Njaa unayo wewe unayetetea usilolijua. Ungetumia muda kidogo tu ukasome walichoandika wenzako hapo juu usingeandika haya. Lowassa ni kichwa cheupe cha nyoka wetu mkuu, UFISADI, lazima abondwe hadi UFISADI UFE na UZIKWE
 

Masatu una lako jambo. Au wewe ni miongoni mwa walewale vibaraka?. Please, unsubscribe. You are in a wrong channel. Tune on to another direction, tena imaginary direction.
 
Masatu una lako jambo. Au wewe ni miongoni mwa walewale vibaraka?. Please, unsubscribe. You are in a wrong channel. Tune on to another direction, tena imaginary direction.

Maane,

Vipi mbona povu linakutoka? na wewe ni kibaraka wa nani? lete hoja acha chuki binafsi
 

huyu ni pandikizi, anatumia luga laini kumtetea Lowasa. yanayoandikwa ni kweli na ni ukweli mtupu ndio maana hata baada ya vitisho vya kwenda mahakamani ameshindwa kufanya hivyo. Lowasa ni fisadi na kuandikwa sio tatizo ili mafisadi wengine wajue na muda wao umekaribia.
 
Maane,

Vipi mbona povu linakutoka? na wewe ni kibaraka wa nani? lete hoja acha chuki binafsi


Masatu nakuambiani lazima povu linitoke na si povu tu hata pumzi ya mwisho ikiwezekana pale ninapopambana na mafisadi. Mafisadi ndiyo wametufikisha hapa tulipo na maisha magumu. Utilities gharama ni juu especially maji na umeme ambavyo vyote hivyo ni matokeo ya contract feki za kifisadi. Ufisadi uliotokana na Richmond sitausahau. Na kamwe sitakuwa kibaraka wa fisadi hapa duniani hata kama angekuwa mume wangu. Mimi ni kibaraka wa viongozi wapiganaji wanaojali Watanzania, hata kama wanakula kidogo lakini waone haya kujilimbikizia kama Lowasa and others.

Sina chuki binafsi hapa. Chuki yangu inawakilisha kizazi cha sasa na cha baadaye cha Tanzania kwa sababu watabaki kulipia matokea ya ufisadi for the next coming four generations. Ufisadi umegusa every sector and Tanzania is shaking now economically, socially and politically. Bisha basi kama wewe in short huwezi kuona kwa nini napinga ufisadi. Inaelekea una relations na mafisadi wewe. Tungeweza kufahamiana humu pengine wewe waweza kuwa niece, nephew, son, daughter or any close relative wa any FISADI in Tz. Au basi kuna kidogo unakatiwa huko. Au basi wewe ndiye yule ofisa anayekimbizana na mafaili ya mafisadi.

Kuna mmoja namfahamu ni jirani yangu (jina kapuni, anaishi kwa neema ya vijisenti vya mafisadi). Umeipata sasa.
 
Masatu una lako jambo. Au wewe ni miongoni mwa walewale vibaraka?. Please, unsubscribe. You are in a wrong channel. Tune on to another direction, tena imaginary direction.

Huyu masatu tunamjua. alikuwa na genge lake. limesambaratishwa. amebaki yeye kama nyoka aliyekatwa kichwa. Ni kiwiliwiili tu hicho kinaviringika kwa maumivu.
 

Masatu,
Jaribu kuuliza kwa wauza magazeti kama jamaa anauza magazeti yake au yanarudi. Kama yanauzika basi ujue mwandishi na gazeti ni zuri. Inawezekana kwa nchi nyingine zaidi ya Tanzania huu ukawa uandishi kichaa. Ila ukweli unabaki kuwa Tanzania unafaa. Mwandishi mzuri ni yule anayeweza kuwajua walengwa na kuandika kile wasomi wake watakisoma na kukielewa. Ukienda kule ndani Unyanyembe na kuwaambia EPA au MEREMETA, watajiuliza ndiyo nini tena. Ukienda UDSM na kuwaambia "nimemkamata katibukata... kamwibia mama muuza Wanzuki" basi nao watakuona kioja. Hata Oprah akifanya Show yake Sikonge, watu watakimbia wote, labda aahidi kuwa kila kwenye seat kuna kiroba cha mchele, hapo watakaa wote hadi mwisho. Masatu huyooo, tumcheke OHHHHH, tumzomeeeee HA HA HAAAAA!!!!!!
 
Huyu masatu tunamjua. alikuwa na genge lake. limesambaratishwa. amebaki yeye kama nyoka aliyekatwa kichwa. Ni kiwiliwiili tu hicho kinaviringika kwa maumivu.

To me nilijua tu lazima huyu Masatu ni mmoja wao. anatafuta sehemu ya kutulizia hasira zake. Invicible nafurahi unamfahamu, mshauri atafute sehemu nyingine ya kumalizia hasira. Hapa atauumbuka. Narudia tena, vibaraka utawatambua kwa postings na comments or reply zao.
 
Yego mwanawasu hata wewe??!!!!
Kubenea ametumia nafasi yake kupigana na mafisadi. Je wewe unayechomoza hapa kumtetea fisadi Lowasa umefanya nini kuupiga vita ufisadi?
Yaani hata wale ndugu zako wanaoteseka kule majita, kibara, nyambono, bwasi na kwingineko huwaonei huruma?hawana umeme na ukiwafikia gharama ni kubwa kwa sababu ya mikataba ya kifisadi aliyoileta huyu fisadi kwa mfano Richmond pesa waliyokuwa wanachota kwa siku ingesaidia shughuli ngapi za maendeleo kule nyumbani au mahali penginepo Tanzania?
Hujui kuwa hiyo fedha ingeweza kuwasaidia watanzania walioko bunda ambayo ni wilaya maskini sana mkoani mara na Tanzania kwa ujumla angalau kuwapunguzia machungu ya maisha?
ni wanafunzi wangapi wanakaa chini kwa kukosa madawati shuleni?ni wanafunzi wangapi wanakwenda kupoteza muda shuleni bila waalimu?hujui hizo fedha zingesaidia kupunguza uhaba wa waalimu?
Naamini kuwa haya yote unayajua isipokuwa umechagua fungu la ufisadi!
Kwa stili hii, kazi bado ni pevu katika kuwafungua macho wadanganyika.
 

Mubwire wasu, mubwire, asige misango ejo. Mwambie aachane na ufisadi huo kwa niaba ya ndugu zetu wanaoteseka kila kukicha.
 
Wapiganaji wenzetu, Mbona mnatubania?? Ikoje hii ya Mwajabu?? Wengine ndio tunaisikia leo pengine kutokana na Our Ears Not being On The Ground Deep Enough!! Tujuzeni Tafadhali.
.....Ka-BBQ nini Ka EddO???? Teh! teh!! tehhhhhhh!!!!!!!
 
Tungeweza kufahamiana humu pengine wewe waweza kuwa niece, nephew, son, daughter or any close relative wa any FISADI in Tz. Au basi kuna kidogo unakatiwa huko. Au basi wewe ndiye yule ofisa anayekimbizana na mafaili ya mafisadi.

Ukisikia kuishiwa hoja ndio huku sasa, huwezi kuifanya hoja yako isimame mpaka uende personal? sasa niambie na wewe Kubenea au Nape ni nani kwako? wajombazo au wapwazo?
 
Kuna vijitu vingine bana vinapewa elfu 50 vinakuja kutetea ufisadi hapa.Njaa mbaya fanya kazi nyingine wewe kwa hili kutetea fisadi Lowasa umegonga ukuta
 

mbona hulalamiki anavyoshikia bango ufisadi wa celtel/zain au nic?ufisadi wa kina lowassa ni mbaya,lakini huu wa kimawzo kama wako ni mbaya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…