utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Arudi jimboni. Aache kelele za majukwaani za kupenda sifa
Halmashauri ya Ubungo ipo chini ya CDM, chini ya Meya mashavu, Boniface Jacob, unataka nani aulizwe barabara zikiwa mbovu ?Sana tuu. Huwezi kumaliza "school" ukapata PhD na ukawa sawa tu....
Back to topic suala la barabraba kuwa mbovu sio jukumu la mbunge awe kubebea au hata awe Makamba. Ni suala la serikali kuu na/au serikali ya mtaa maana ndio wanao kusanya kodi. Mbunge hawajibiki kutengeneza barabara.
Halmashauri ya Ubungo ipo chini ya CDM, chini ya Meya mashavu, Boniface Jacob, unataka nani aulizwe barabara zikiwa mbovu ?
Kubenea ni diwani wa huku na yupo kwenye baraza la madiwani na anahusika kufanya maamuzi ya bajeti za halmashauri na ubungo ipo ukawa wanashindwa nini kutenga fedha za marekebisho ya barabaraKubenea atatoa pesa mfukoni mwake? Walalamikie watu wa Manispaa ambao wanaweza kujenga kwa pesa zitokanazo na makusanyo mbalimbali ndani ya halmashauri husika ama peleka malalamiko yako kwa Dereva wa Lori ambaye kupitia waziri wa ujenzi anaweza kutenga fungu kwa ajili ya ujenzi wa barabara hizo. Kubenea kazi yake ni kuwasemea wananchi wake ukiwemo wewe pale bungeni.
Unahukakika gani halipi kodi wakati kila mlaji anakatwa kodiMtoa hoja yuko masomoni na kodi halipi lakini anataka barabara ya dhahabu. Unalalamika serikali haipo je ushafika hata kwa mtendaji kata kumuuliza haya maswali ayako? I doubt....
Mbona fly over zinajegwa ubungohivi kuna majimbo yaliyochukuliwa na upinzani, kuna huduma yoyote serikali ya magu ilishapeleka, mie naona inaenda kwenye majimbo ya ccm, lakini upinzani hamna, sasa baadae 2020 kwenye kampeni waje wadanganye wananchi kuwa mumemchagua flani wa chama flani, mbona hajafanya lolote, chagueni kijani muone, na kwa hili upinzani wasitegemee support kutoka serikalini, kama wana wadhamini nje wajitahidi tu wawasaidie, ila sasa wakishaleta hao wahisani kama ya pale kwa lema, serikali itaingilia kati itibue kila kitu,
Mbona meya wa ubungo ukawaWanazibania makusudi ili ionekane wabunge hawajafanya lolote,lakini tunajuwa hiyo ni kazi ya jiji chini ya meya wa kuchonga wa CCM.Mkurugenzi kada,mkuu wa mkoa kada.
Yamekua hayo tenaHili halitaki tochi,serikali hii inapiga vita upinzani,hata ukichaguliwa na wananchi,inaizinisha peas Kwa sehemu za CCM tu,Sasa ikiwa mkoa wa Dar upo chini ya upinzani,halafu waongozaji wakuu akina bashite wewe unategemea nini,Kubenea anataka kufanya mengi lakini,majambazi ya chama tawala yanatawala Kila kitu,Hawaii Jamaa wanatawala kila kitu,lakini haya yana mwisho,ikiwa wananchi watamua,utawala huu unabagua wananchi sababu ya kutoungwa mkono.mimi natabiri 2020 CCM itakwenda tu
Ccm ni generationSiasa za ccm ni za kishamba sana , hata hivyo mwisho wao umefika .
Sinza kumezidi mbona masaki sio hivyoMtoa mada ana chuki binafsi na kubenea! Barabara karibu zote za jijini zimeharibika kutokana na mvua na ni wajibu wa serikali kuzikarabati kupitia wizara husika
Ded mtendaji tu akamuone meya jacob mpitisha maamuzi na wenzieNenda kamuone DED wa manispaa ya Ubungo
Dodoma kuzuriMkuu hata huku jimbo la Kawe hali ni hiyohiyo,Halima Mdee njoo KWENYE JIMBO LAKO BARABARA HAZIFAI SISI NDIO TULIOKUCHAGUA LAKINI HATUKUONI MBALI YA KUKUONA TU KWENYE RUNINGA UKIWA KWENYE MJENGO UKILA KIYOYOZI,BARABARA HAZIPITIKI,NJOO UJIONEE MWENYEWE
Hili ndo wazoAcheni kutetea hyu mbunge haji kabisa jimboni tulikaa masaa zaidi ya nane pale ebonite kumpigia anashinda dodoma sijui migari yataka haijii yeye yupo tu. chadema 2020 wanatakiwa wajipange sana excuse yakusema pesa wanabana serikali hazina mashiko kwanini asije na kumobilise wananchi wachange by the way jimbo la ubungo makoprity ni middle income wankiuwezo flani kuchangia hawashindwi.Sijui atajiteteaje 2020.Rudi jimbo kwako mbunge
Unahukakika gani halipi kodi wakati kila mlaji anakatwa kodi
Kupinga serkaliKazi ya mbunge jimboni kwake ni nini?
We unajuaWewe hata maana ya kodi hujui.
Kama ndiyo hivyo kwanini, KUBENEA amekwenda kupigania UBUNGE jimbo la UBUNGO?Umejiuliza kwa nini Kubenea ameshindwa kutengeneza hata barabara? Unafikiri haoni/hataki?. Mnyika amekimbia hapo na machachari yake hakufurukuta. Jimbo la ubungo siasa ndio kila kitu, kuna vizee vya ccm hapo mtu wa chama kingine hawezi fanya lolote. Jaribu kuulizia storia ya hapo utaelewa naandika nini
Habari wakuu.
Mimi ni mkazi wa Sinza. Nipo kimasomo.
Kwakweli barabara za hapa Sinza zinatia kinyaa. Barabara ni mbovu mno. Si kwa watembea Kwa miguu wala wenye vyombo vya Usafiri.
Mbunge wa Ubungo mhe. kubenea embu kuja huku ujionee raia wanavyopata shida. Kata kama haina serikali bhana.
Taarifa uzipate.
Nawasilisha