majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,751
- 5,340
Wewe ni wa hovyo kabisa,mbona mashimo yapo uhuru road,kawawa roa,posta mya huku na sehemu nyingi tu hapa dsm?,kama mkulu amezishikilia rupia aende akamnyang'anye?,kwani jukumu la kuzitengeneza hizo barabara ni kubenea au ni serekali kupitia kodi zetu?.Jitafakari na tumia akili na sio makalio.
Makalio ndio uliyoyaona yana maana sana katika akili yako!! endelea kuyauza tu maana ndio yenye thamani kwako. Soma uelewe. Huu mfupa ulimshinda Mnyika pamaja na jitihada zake zote na tulimtegemea sana. Kubenea pia hataweza. Hili Jimbo sio kama akili yako finyu inayowaza makalio labda ujigeuze na mbele.