Uko sahihi mkuuSana tuu. Huwezi kumaliza "school" ukapata PhD na ukawa sawa tu....
Back to topic suala la barabraba kuwa mbovu sio jukumu la mbunge awe kubebea au hata awe Makamba. Ni suala la serikali kuu na/au serikali ya mtaa maana ndio wanao kusanya kodi. Mbunge hawajibiki kutengeneza barabara.
Masaki pia Kuna sehem zimeathirika japo sio kwa kiwango kikubwa kama sehem nyingine hii inatokana na miundo mbinu yake kuwa katika mfumo madhubuti tangu enzi za wakoloni na pia kule barabara ikiharibika inatengenezwa fast kuliko sehem nyingine kama uko sinza.Sinza kumezidi mbona masaki sio hivyo
What do you mean Mkuu? Nimesema Mwamoto ndiye anapaswa kujenga barabara jimboni kwake??Kwa Kubenea sio sawa kwa sababu ni Chadema ila kwa Mwamoto wa CCM ni sawa.
Nakuelewa, lakini tunapoteza lengo. Wabunge kazi yao ni kusemea tu haya matatizo. Wanaopaswa kutenda (Kujenga barabara) sisi wenyewe tunawajua sana. Kwa nini tunawaacha na kuanza kupambana na watunga sheria???Ndio maana waligombea ubunge mkuu.
Mambo kama haya ni sehemu ya kazi zao.
Huko pengine Napo si kuna wabunge mkuu?
Na unadhani Kipindi cha Kampeni huwa wanaongeaga nini kwenye Sera zao kama si kuboresha miundo mbinu
Nisomeshe Mkuu. Je wapo kwa sababu ya kujenga barabara?????Unajua Kwa nini kuna wabunge mkuu au unaropoka hapa?
hivi kuna majimbo yaliyochukuliwa na upinzani, kuna huduma yoyote serikali ya magu ilishapeleka, mie naona inaenda kwenye majimbo ya ccm, lakini upinzani hamna, sasa baadae 2020 kwenye kampeni waje wadanganye wananchi kuwa mumemchagua flani wa chama flani, mbona hajafanya lolote, chagueni kijani muone, na kwa hili upinzani wasitegemee support kutoka serikalini, kama wana wadhamini nje wajitahidi tu wawasaidie, ila sasa wakishaleta hao wahisani kama ya pale kwa lema, serikali itaingilia kati itibue kila kitu,
nhivi kuna majimbo yaliyochukuliwa na upinzani, kuna huduma yoyote serikali ya magu ilishapeleka, mie naona inaenda kwenye majimbo ya ccm, lakini upinzani hamna, sasa baadae 2020 kwenye kampeni waje wadanganye wananchi kuwa mumemchagua flani wa chama flani, mbona hajafanya lolote, chagueni kijani muone, na kwa hili upinzani wasitegemee support kutoka serikalini, kama wana wadhamini nje wajitahidi tu wawasaidie, ila sasa wakishaleta hao wahisani kama ya pale kwa lema, serikali itaingilia kati itibue kila kitu,
Mkuu hao jamaa ni watu wa matukio na wafuasi wao pia. Wiki iliyopita tulimuona mh kitwanga akilalamikia maji ktk jimbo lake. Nape pia kubenea alikua busy kufahamu kama mwakyembe ana vyeti. Halafu pia walikimbia na kulizira bunge la budget mwaka jana halafu watu bado wanawatetea. Hatari sana kuwa misukule ya wanasiasa mkuu.Hao wabunge unaowatetea waliahidi mambo mengi sana, na kama serikali haitekelezi waje kwa wananchi wawaeleze hivyo. Bungeni kule hatuwasikii wakitetea wananchi zaidi ya kufanya siasa tu. Ni lini umemsikia Mh. Kubenea akizungumzia hiyo barabara ya Sinza bungeni? Mambo mengine tutumie akili tu ya kawaida. Mbunge aligombea na kuahidi kutatua kero za wananchi huku akijua hatatoa hela mfukoni mwake. Hata kutetea bungeni au kuja kueleza kwa nini hali iko hivyo anashindwa? Halafu tunakaa tunawatetea humu? Awe CHADEMA au CCM, mbunge anawajibu wa kuwaeleza wananchi kinachoendelea. Halafu kuna tofauti gani kumchagua mbunge wa upinzani anayeponda wabunge wa CCM halafu ili ashinde, na akishinda hatuoni tofauti yoyote? Akili ya kuambiwa ongeza na yako
well said mkuu , mbona huwa analisemea sana tatizo hela anapata wapi?Kubenea atatoa pesa mfukoni mwake? Walalamikie watu wa Manispaa ambao wanaweza kujenga kwa pesa zitokanazo na makusanyo mbalimbali ndani ya halmashauri husika ama peleka malalamiko yako kwa Dereva wa Lori ambaye kupitia waziri wa ujenzi anaweza kutenga fungu kwa ajili ya ujenzi wa barabara hizo. Kubenea kazi yake ni kuwasemea wananchi wake ukiwemo wewe pale bungeni.
Mnyika alikimbiaje wakati jimbo liligawanywa na mbunge aliekuwepo akaenda jimbo jipya!!! Hayo yalitokea pia kwa mahanga alihamia segerea alipokuwa mbunge wa ukonga, silinde pia alihamia momba from tunduma!! Ssa mnyika alikimbiaje?? Je jimbo lisingegawanywa ina maana asingegombea?? Kma unasema amekimbia unasahau kuwa kibamba ilikuwa jimbo la ubungo!! Mbona ameshinda still!!! Je huko kukimbia kunatoka wapi??Umejiuliza kwa nini Kubenea ameshindwa kutengeneza hata barabara? Unafikiri haoni/hataki?. Mnyika amekimbia hapo na machachari yake hakufurukuta. Jimbo la ubungo siasa ndio kila kitu, kuna vizee vya ccm hapo mtu wa chama kingine hawezi fanya lolote. Jaribu kuulizia storia ya hapo utaelewa naandika nini
Hiii ni shida ya kuongea bila utafiti!! Hvi umepitia hata makadirio ya bajeti ya halmashauri ya ubungo na kuona pesa zilizotengwa kwa ajili ya ukarabati wa barabara???? Kma hujafanya hivyo inakuaje unapinga tu bila utafiti???Mku
Mkuu hao jamaa ni watu wa matukio na wafuasi wao pia. Wiki iliyopita tulimuona mh kitwanga akilalamikia maji ktk jimbo lake. Nape pia kubenea alikua busy kufahamu kama mwakyembe ana vyeti. Hakafu pia walikimbia na kulizira bunge la budget mwaka jana halafu watu bado wanawatetea. Hatari sana kuwa misukule ya wanasiasa mkuu.
Kwani kama ccm isha wahi kufanya vizuri kwanini mliipa chadema kama nyie sio mahanangwa?Kabla ya Kubenea alikuwepo Mnyika. Hakuna cha maana alichofanya na watu walilalamika sana humu na kuapa kutomchagua tena. Alichofanya alienda gombea jimbo jingine na kumwachia Kubenea, naye hakuna la maana linaloendelea. Hilo jimbo bila CCM hakuna atakayelirekebisha; kubali au kataa.
Sitaki mapovu mie sio ccm ila najua chadema wamebanwa hapo hawawezi furukuta.
Habari wakuu.
Mimi ni mkazi wa Sinza. Nipo kimasomo.
Kwakweli barabara za hapa Sinza zinatia kinyaa. Barabara ni mbovu mno. Si kwa watembea Kwa miguu wala wenye vyombo vya Usafiri.
Mbunge wa Ubungo mhe. kubenea embu kuja huku ujionee raia wanavyopata shida. Kata kama haina serikali bhana.
Taarifa uzipate.
Nawasilisha
Kabla ya Kubenea alikuwepo Mnyika. Hakuna cha maana alichofanya na watu walilalamika sana humu na kuapa kutomchagua tena. Alichofanya alienda gombea jimbo jingine na kumwachia Kubenea, naye hakuna la maana linaloendelea. Hilo jimbo bila CCM hakuna atakayelirekebisha; kubali au kataa.
Sitaki mapovu mie sio ccm ila najua chadema wamebanwa hapo hawawezi furukuta.
Gambo kapeleka au ni wale wazungu walioshuhudia ajali...Sasa si mumuambie Makondakta atengeneze hizo barabara.
Mbona Arusha Gambo kapeleka watoto majeruhi Marekani.
Kuna mbunge alipaza sauti anabarabara anaitetea iwekwe lami tangu sirikali ya awamu ya pili .....Ebu tuache vyama pembeni kwanza. Tujiulize kazi za mbunge ni nini?
-hivi majukumu ya mbunge si pamoja na kufanya lobbying kwenye taasisi, mashirika hata serikarini ili barabara zitengenezwe?
-hivi tunapowalipa wabunge kazi na majukumu ya hayaambatani nakuwa creative /innovative wa namna ya kutatua tatizo la wananchi? Wananchi
-kama inashindikana si atumie mfuko wa jimbo kukarabati Barabara
-Imeshindikana yote hayo si azungumze bungeni basi tena kwa ukali apaze sauti yake.
Jamani ebu tuwekeni uzalendo mbele. ..kama mnaona kazi hizo ni za serikali basi hakuna haja ya kuwa na wabunge
Mnyika alikimbiaje wakati jimbo liligawanywa na mbunge aliekuwepo akaenda jimbo jipya!!! Hayo yalitokea pia kwa mahanga alihamia segerea alipokuwa mbunge wa ukonga, silinde pia alihamia momba from tunduma!! Ssa mnyika alikimbiaje?? Je jimbo lisingegawanywa ina maana asingegombea?? Kma unasema amekimbia unasahau kuwa kibamba ilikuwa jimbo la ubungo!! Mbona ameshinda still!!! Je huko kukimbia kunatoka wapi??
Kwani kama ccm isha wahi kufanya vizuri kwanini mliipa chadema kama nyie sio mahanangwa?