radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,291
Kwakweli hili litamgharimu ifikapo 2020
kweli bana zimeharibika alipopata ubunge tu zitamghalimu kweli kweli ccm waliacha nzur sana
Kwakweli hili litamgharimu ifikapo 2020
ile ya uzuri unaweza shuka ukabeba gari mgongoni
kubenea anachungulia shanga tu
Duh kwahyo unachotaka kusema jimbo haliwezi pata maendeleo as long as lipo chini ya upinzani yaani serikali ikalisusa! Lakini je labda nkuulize kwanini ubungo na sio ilala au kinondoni au ukonga n.kWakati wa Mnyika kulikuwa na malalamiko mengi sana hasa maeneo ya sinza, ubungo terminal, kibangu na sehemu za karibu. Na waliazimia kutompa kura Mnyika na huku ndio kuna wanachama wengi wa upinzani, ili kuhakikisha jimbo linabaki upinzani ilibidi upinzani watoe jina la mtu mwingine atakayekubalika maana Mnyika alishachokwa na lilipotoka jina la Kubenea watu hawakuona shida kumpa wakiamini atafanya mabadiliko. Nakuhakikishia kama sio hivyo Mnyika asingepata ushindi na Masaburi angechukuwa jimbo.
Nimetaka kukukupa picha tu ilivyokuwa. Sio kama Kubenea (hata Mnyika) hafanyi kazi ila hili jimbo ni moja ya jimbo tata sana na lenye vita kali dhidi ya viongozi wa upinzani ndio maana Kubenea naye anashindwa kufurukuta kama alivyoshindwa Mnyika. Na shida za wananchi ziko pale pale.
Duh kwahyo unachotaka kusema jimbo haliwezi pata maendeleo as long as lipo chini ya upinzani yaani serikali ikalisusa! Lakini je labda nkuulize kwanini ubungo na sio ilala au kinondoni au ukonga n.k
Vilevile kwa miaka zaidi ya 50 eneo hilo limekuwa na mbunge wa ccm kma hizo changamoto hazikuisha iweje mzigo uwarushie wapinzani yaani wasiichague eti misa maendeleo hayatokuja ila wairudishw ccm ndio ilete maendeleo!! Hyo miaka 50 walikuwa wapi leo wanatolewa ndio wanakuja na hyo hoja???
kumbe kazi ya mbunge ni ipi? Kwenye kampeni wanavyosema tutajenga barabara wanakuwa wanatudanganya sio?Uko sahihi mkuu
Wanaofikiri hiyo ni kazi ya mbunge ni wajinga tu. Na kwa elimu uliyotoa kama bado hawajaelewa basi wapumbavu
Kukosa akili, yaani hunakitu kichwaniNini maana ya mahanangwa????
Na ndio maana katiba ya warioba waliweka kipengele cha kumwajibisha kiongozi asiyetimiza wajibu wake...... hii ingesaidia sana kuwanyoosha wabunge wanaoleta ahadi hewa...... ila magamba walikifuta hicho kipengele kwenye katiba pendekezwa !!!!kumbe kazi ya mbunge ni ipi? Kwenye kampeni wanavyosema tutajenga barabara wanakuwa wanatudanganya sio?
Kwani umeshawahi kwenda ofsisi ya mbunge ukauliza so far amechukua hatua gani kuhusiana na maendeleo ya jimbo lake au siku hizi evaluation za kazi ya mbunge ni JF!!! muende kwanza ofisi ya mbunge mkahoji ndio mrudi hapa na facts sio kulaumu wakati hamjui wats on the groundKubenea anaongea sana kazi za maana za kimaendeleo hafanyi upinzani utakuja kufa mwisho wa siku sababu viongozi aina ya Kubenea hawafai kwa namna hali ya maisha inavyoenda,people are becoming more serious and much of their thoughts are centered towards development, real development.
kwa hiyo kubenea kazi yake nini kuchungulia shanga !! acha ujuhaKubenea atatoa pesa mfukoni mwake? Walalamikie watu wa Manispaa ambao wanaweza kujenga kwa pesa zitokanazo na makusanyo mbalimbali ndani ya halmashauri husika ama peleka malalamiko yako kwa Dereva wa Lori ambaye kupitia waziri wa ujenzi anaweza kutenga fungu kwa ajili ya ujenzi wa barabara hizo. Kubenea kazi yake ni kuwasemea wananchi wake ukiwemo wewe pale bungeni.
Kuiambia serikali kwangu kuna shida ya barabara, na serikali itengeneze, maana ndio inayo kusanya kodi, sio kubenea, mwenye pesa ni serikali, mbunge ni lofa tuu, maana hakusanyi kodikwa hiyo kubenea kazi yake nini kuchungulia shanga !! acha ujuha
Muda wa kwenda ofisini kwa mbunge unatoka wapi wewe, yeye afanye kazi watu tuoneKwani umeshawahi kwenda ofsisi ya mbunge ukauliza so far amechukua hatua gani kuhusiana na maendeleo ya jimbo lake au siku hizi evaluation za kazi ya mbunge ni JF!!! muende kwanza ofisi ya mbunge mkahoji ndio mrudi hapa na facts sio kulaumu wakati hamjui wats on the ground
Atoe hela zake mfukoni?Mimi sijui cha CCM au CHADEMA. Mwenye wajibu Kwa Sasa ni Kubenea
Ukiniambia kuwa ni wabunge wa ccm pekee ndo walikataa kipengele hicho nakataa. Hawa wabunge wetu huwa pamoja maslah yao yanapoguswa. Rejea kuhusu posho zao zilipotaka kuguswa jinsi walivyoshikamana. Yaani huwezi jua mpinzani ni yupi... Gongelea na kauli ya wakili msomi sana kuhusu posho. Pia mbona sijaona mbunge wa upinzani yeyote aliyepeleka hoja binafsi bungeni kuhusu hili? Hawa wote ni mapacha wanaofanana.Na ndio maana katiba ya warioba waliweka kipengele cha kumwajibisha kiongozi asiyetimiza wajibu wake...... hii ingesaidia sana kuwanyoosha wabunge wanaoleta ahadi hewa...... ila magamba walikifuta hicho kipengele kwenye katiba pendekezwa !!!!
Ndio, atoe za mfuko wa jimbo!Atoe hela zake mfukoni?
sio hivyo wewe mbunge yeye ndo inabidi akapige kelele kule bungeni kuhusiana na masuala yetu yeye ndio mtu wa kusimama kwa niaba ya watu awasilishe mawazo ya watu juu ya ishu fulani lakini sasa huyu Kubenea yeye kila siku ni masuala ya chama, kugombana na serikali kuu kuhusiana na masuala yasio na msingi kabisa mwisho wa siku ni kulimbikiziwa makesi rundo sasa kwa hali kama hii kwa akili tu ya kawaida nchi inapokuwa na viongozi wa namna hii unafikiri tutasonga kuna maendeleo ya kutegemea hapoSikuhizi Mbunge kawa mjenga bara bara lalamikia serikali yako ya ccm
Hauyajui majukumu ya mbunge nini......???
Alafu hizi fikra tulizonazo watanzania ndio fikra potofu kweli kuwa mbunge ndio mjengaji wa barabara.......???!!