Kubenea, njoo uone barabara zako za Sinza

Kubenea, njoo uone barabara zako za Sinza

We umeuliza swali nimekujibu,nami ninahitaji uniambie kazi ya Mbunge uijuayo,kwani hilo hilo Jimbo kabla ya Mnyika na sass Kubenea huko nyuma lilikuwa linaongozwa na Chama gani? miaka takribani 40 mbona hamkuhoji?,miaka 15 mmeanza kuhoji!
Ingekuwa miaka iliyopita hatukuhoji sizani km hao wabunge wa upinzani wangepita. Tunabadilisha uongozi ili kurekebisha palipokosewa. Pia hizo barabara unazoambiwa kuwa zimeharibika zilijengwa kipindi cha uongozi wa ccm. Sasa km miaka 15 sio mingi kutufanya tuhoji sizani km upo sahihi. Mbona mnamhoji magufuli wakati hata miaka 2 bado? Au wanaotakiwa kuhojiwa ni ccm tu?
 
anayepanga
Kuiambia serikali kwangu kuna shida ya barabara, na serikali itengeneze, maana ndio inayo kusanya kodi, sio kubenea, mwenye pesa ni serikali, mbunge ni lofa tuu, maana hakusanyi kodi
matumizi; mbona haondoi shillingi??????????

shida yake ilikuwa V8
 
Kabla ya Kubenea alikuwepo Mnyika. Hakuna cha maana alichofanya na watu walilalamika sana humu na kuapa kutomchagua tena. Alichofanya alienda gombea jimbo jingine na kumwachia Kubenea, naye hakuna la maana linaloendelea. Hilo jimbo bila CCM hakuna atakayelirekebisha; kubali au kataa.

Sitaki mapovu mie sio ccm ila najua chadema wamebanwa hapo hawawezi furukuta.
Mnataka atoe hela yake mfukoni ajenge ama? Ccm ndio wanachelewesha Maendeleo
 
Back
Top Bottom