Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,554
unaseeeemaaaajeeee!!!!!!, shame on you kirchhoffSasa si mumuambie Makondakta atengeneze hizo barabara.
Mbona Arusha Gambo kapeleka watoto majeruhi Marekani.
unaseeeemaaaajeeee!!!!!!, shame on you kirchhoffSasa si mumuambie Makondakta atengeneze hizo barabara.
Mbona Arusha Gambo kapeleka watoto majeruhi Marekani.
Yuko bize kuandaa maandamano na kujiteka.Habari wakuu.
Mimi ni mkazi wa Sinza. Nipo kimasomo.
Kwakweli barabara za hapa Sinza zinatia kinyaa. Barabara ni mbovu mno. Si kwa watembea Kwa miguu wala wenye vyombo vya Usafiri.
Mbunge wa Ubungo mhe. kubenea embu kuja huku ujionee raia wanavyopata shida. Kata kama haina serikali bhana.
Taarifa uzipate.
Nawasilisha
Acha kujitoa ufahamu hujui kazi ya mbunge? ? Tunawachagua ili wakachukue posho au?Nyie watu, huu ujinga utaisha lini jamani? kwa nini uiangalie barabara mbovu kisha uanze kumlilia Mbunge????? Bajeti ya ujenzi wa barabara siku hizi imehamishiwa kwa wabunge?????
Tatizo ni Kubenia au sirikali[emoji28]?Habari wakuu.
Mimi ni mkazi wa Sinza. Nipo kimasomo.
Kwakweli barabara za hapa Sinza zinatia kinyaa. Barabara ni mbovu mno. Si kwa watembea Kwa miguu wala wenye vyombo vya Usafiri.
Mbunge wa Ubungo mhe. kubenea embu kuja huku ujionee raia wanavyopata shida. Kata kama haina serikali bhana.
Taarifa uzipate.
Nawasilisha
Nikumbushe Mkuu: Ni pamoja na kujenga barabara?Acha kujitoa ufahamu hujui kazi ya mbunge? ? Tunawachagua ili wakachukue posho au?
Mimi sijui cha CCM au CHADEMA. Mwenye wajibu Kwa Sasa ni Kubenea
Hili halitaki tochi,serikali hii inapiga vita upinzani,hata ukichaguliwa na wananchi,inaizinisha peas Kwa sehemu za CCM tu,Sasa ikiwa mkoa wa Dar upo chini ya upinzani,halafu waongozaji wakuu akina bashite wewe unategemea nini,Kubenea anataka kufanya mengi lakini,majambazi ya chama tawala yanatawala Kila kitu,Hawaii Jamaa wanatawala kila kitu,lakini haya yana mwisho,ikiwa wananchi watamua,utawala huu unabagua wananchi sababu ya kutoungwa mkono.mimi natabiri 2020 CCM itakwenda tuHabari wakuu.
Mimi ni mkazi wa Sinza. Nipo kimasomo.
Kwakweli barabara za hapa Sinza zinatia kinyaa. Barabara ni mbovu mno. Si kwa watembea Kwa miguu wala wenye vyombo vya Usafiri.
Mbunge wa Ubungo mhe. kubenea embu kuja huku ujionee raia wanavyopata shida. Kata kama haina serikali bhana.
Taarifa uzipate.
Nawasilisha
Usitetee kila kitu ni kizingiti Kwa serikali hii,haswa ikiwa kitaipa credit upinzani.Ebu tuache vyama pembeni kwanza. Tujiulize kazi za mbunge ni nini?
-hivi majukumu ya mbunge si pamoja na kufanya lobbying kwenye taasisi, mashirika hata serikarini ili barabara zitengenezwe?
-hivi tunapowalipa wabunge kazi na majukumu ya hayaambatani nakuwa creative /innovative wa namna ya kutatua tatizo la wananchi? Wananchi
-kama inashindikana si atumie mfuko wa jimbo kukarabati Barabara
-Imeshindikana yote hayo si azungumze bungeni basi tena kwa ukali apaze sauti yake.
Jamani ebu tuwekeni uzalendo mbele. ..kama mnaona kazi hizo ni za serikali basi hakuna haja ya kuwa na wabunge
Unaweza kupeleka ujumbe wako kwa Mh Mbunge bila matusi na ukaeleweka tu .ile ya uzuri unaweza shuka ukabeba gari mgongoni
kubenea anachungulia shanga tu
Siasa za ccm ni za kishamba sana , hata hivyo mwisho wao umefika .hivi kuna majimbo yaliyochukuliwa na upinzani, kuna huduma yoyote serikali ya magu ilishapeleka, mie naona inaenda kwenye majimbo ya ccm, lakini upinzani hamna, sasa baadae 2020 kwenye kampeni waje wadanganye wananchi kuwa mumemchagua flani wa chama flani, mbona hajafanya lolote, chagueni kijani muone, na kwa hili upinzani wasitegemee support kutoka serikalini, kama wana wadhamini nje wajitahidi tu wawasaidie, ila sasa wakishaleta hao wahisani kama ya pale kwa lema, serikali itaingilia kati itibue kila kitu,
Habari wakuu.
Mimi ni mkazi wa Sinza. Nipo kimasomo.
Kwakweli barabara za hapa Sinza zinatia kinyaa. Barabara ni mbovu mno. Si kwa watembea Kwa miguu wala wenye vyombo vya Usafiri.
Mbunge wa Ubungo mhe. kubenea embu kuja huku ujionee raia wanavyopata shida. Kata kama haina serikali bhana.
Taarifa uzipate.
Nawasilisha
Kubenea atatoa pesa mfukoni mwake? Walalamikie watu wa Manispaa ambao wanaweza kujenga kwa pesa zitokanazo na makusanyo mbalimbali ndani ya halmashauri husika ama peleka malalamiko yako kwa Dereva wa Lori ambaye kupitia waziri wa ujenzi anaweza kutenga fungu kwa ajili ya ujenzi wa barabara hizo. Kubenea kazi yake ni kuwasemea wananchi wake ukiwemo wewe pale bungeni.