mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,168
- 8,937
Mkuu hata huku jimbo la Kawe hali ni hiyohiyo,Halima Mdee njoo KWENYE JIMBO LAKO BARABARA HAZIFAI SISI NDIO TULIOKUCHAGUA LAKINI HATUKUONI MBALI YA KUKUONA TU KWENYE RUNINGA UKIWA KWENYE MJENGO UKILA KIYOYOZI,BARABARA HAZIPITIKI,NJOO UJIONEE MWENYEWEHabari wakuu.
Mimi ni mkazi wa Sinza. Nipo kimasomo.
Kwakweli barabara za hapa Sinza zinatia kinyaa. Barabara ni mbovu mno. Si kwa watembea Kwa miguu wala wenye vyombo vya Usafiri.
Mbunge wa Ubungo mhe. kubenea embu kuja huku ujionee raia wanavyopata shida. Kata kama haina serikali bhana.
Taarifa uzipate.
Nawasilisha