VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 505
- 388
A/kilimo Njoo H/W Bukoba nije Geita, Sengerema, misungwi, Busega
Purambili ni wilaya gani?Mi Niko Dar nataka kuhamia Moro. Tuwasiliane 071386951Nipo purambili morogoro afisa kilimo naomba niamishiwe dar es salaam
we unataka ipi? ya biashara au ya walevi?Serikali Ya Viwanda! !
naona swali lako unalipenda sana, unaliuliza mara kwa mara, hawa jamaa ni sio wataalam, ni walinzi wa raia na mali zao, pia lindo hupangiwa,ukiruhusu wajipangie uharifu utaongezeka,maeneo korofi yatakosa walinzi mfano pwaniMbona sioni afisa polisi akiomba kubadilishana kituo cha kazi na mwenzake....!!? Au huwa wanaridhika!?
Jiajili kwenye field yako hii.,uta make zaidi ya hiyo unayotakaMimi ni afisa kilimo ambaye bado sijapata kazi na natafuta kazi lakini iwe na ujira wa kuanzia laki 8 na kuendelea bila makato
NJOO HANDENI TANGA NIJE KALIUAMimi ni afisa kilimo wilaya ya kaliua tabora, namtafuta wa kubadilishana nae me niende Arusha, kilimanjaro, tanga, manyara au morogoro
Bado hujapata mtu Mkuu?Njoo meatu-simiyu mkuu tubadilishane
Wakurya wanataka wakuue nnNATAFUTA MTU WA KUBADILISHANA NAYE KITUO CHA KAZI. MIE NI AFISA MIFUGO DARAJA LA PILI. NATAFUTA MTU YEYE AJE TARIME MJI MIE HALMASHAURI YOYOTE KATIKA MIKOA YA RUVUMA,NJOMBE,IRINGA na MBEYA.
MAWASILIANO 0762940676/0716421449