Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mbilimbi Mbovu, Aug 2, 2012.

 1. Mbilimbi Mbovu

  Mbilimbi Mbovu Senior Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: May 25, 2015
  Messages: 183
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

  Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa kubadilishana nao kwenye nyuzi mbalimbali, tumeona ni vema kukawa na uzi mmoja ambao utawakutanisha wadau wote wenye mahitaji yanayofanana.

  Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

  Ni muhimu kuzingatia kuwa, kuweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

  MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

  Tunakutakieni utumishi mwema.
   
 2. noney

  noney Member

  #81
  Jan 25, 2017
  Joined: Jul 3, 2015
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nipo kilwa masoko(mjini) afisa mifugo daraja la pili ,natafuta kituo dodoma mjini,chamwino au bahi,
  Kwa wale wanaopenda kuwq karibu na dsm au rufiji hii ni nafasi yako,dar unaenda na kurudi.
  No.yangu 0752521339
   
 3. nimbagonza

  nimbagonza JF-Expert Member

  #82
  Feb 1, 2017
  Joined: Jun 15, 2015
  Messages: 624
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 80
  Uhamisho umeruhusiwa wakuu? Au kujifariji tuu??
   
 4. I

  IRINGA ONE Member

  #83
  Feb 16, 2017
  Joined: Mar 19, 2015
  Messages: 99
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 25
  MIMI NI AFISA KILIMO HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI - TANGA, NAOMBA KUBADILISHANA NA MTU ALIYEKO KATIKA WILAYA ZA MUFINDI, KILOLO, IRINGA V, AU IRINGA MJINI. NATANGULIZA SHUKRANI KWENU.
   
 5. V

  VeroEretico Senior Member

  #84
  Mar 6, 2017
  Joined: Jun 23, 2013
  Messages: 172
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  A/kilimo Njoo H/W Bukoba nije Geita, Sengerema, misungwi, Busega
   
 6. n

  nzigo Member

  #85
  Mar 29, 2017
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Purambili ni wilaya gani?Mi Niko Dar nataka kuhamia Moro. Tuwasiliane 071386951
   
Loading...