Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mbilimbi Mbovu, Aug 2, 2012.

 1. Mbilimbi Mbovu

  Mbilimbi Mbovu Senior Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: May 25, 2015
  Messages: 184
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

  Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa kubadilishana nao kwenye nyuzi mbalimbali, tumeona ni vema kukawa na uzi mmoja ambao utawakutanisha wadau wote wenye mahitaji yanayofanana.

  Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

  Ni muhimu kuzingatia kuwa, kuweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

  MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

  Tunakutakieni utumishi mwema.
   
 2. Uni mwanitu

  Uni mwanitu Senior Member

  #41
  Sep 21, 2015
  Joined: Oct 25, 2014
  Messages: 188
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama unaweza kuja wilaya ya Ludewa mkoa wa njombe nikuunganishe na jamaa wa huku.
   
 3. Uni mwanitu

  Uni mwanitu Senior Member

  #42
  Sep 21, 2015
  Joined: Oct 25, 2014
  Messages: 188
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama unaweza kuja wilaya ya Ludewa mkoa wa njombe nikuunganishe na jamaa wa huku.
   
 4. C

  Charabunga New Member

  #43
  Oct 4, 2015
  Joined: Sep 27, 2015
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni Afisa kilimo nipo mkoa wa dodoma katka walaya ya kondoa naomb kubadilishana na mtu yeyote aliepo dar es salaam au morogor kama yupo ani PM au apge cm 0657313148
   
 5. Uni mwanitu

  Uni mwanitu Senior Member

  #44
  Oct 24, 2015
  Joined: Oct 25, 2014
  Messages: 188
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Vp ulisha Pata.? Kama bado njoo ludewa mkoa wa njombe kuna jamaa wa kuhama hapa anahitaji.
   
 6. M

  Mediator Senior Member

  #45
  Dec 2, 2015
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 133
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Mimi ni Afisa Mtenda Kata katika Halmashauri ya Mji Kibaha, natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka Halmashauri ya wilaya za Korogwe, Muheza au Gairo au Manispaa za Morogoro, Mbeya, Iringa
   
 7. sirfanuel

  sirfanuel Member

  #46
  Feb 6, 2016
  Joined: Feb 6, 2016
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi ni afisa kilimo wilaya ya kaliua tabora, namtafuta wa kubadilishana nae me niende Arusha, kilimanjaro, tanga, manyara a u morogoro
   
 8. Uni mwanitu

  Uni mwanitu Senior Member

  #47
  Mar 3, 2016
  Joined: Oct 25, 2014
  Messages: 188
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jamani bado natafta afisa kilimo wa kubadirishana nae aje LUDEWA NJOMBE mi niende SONGWE, MBOZI, ILIJE KYELA, MBEYA VJJN, TUKUYU, MBALALI, MOMBA.
   
 9. mchagahalisi

  mchagahalisi JF-Expert Member

  #48
  Mar 14, 2016
  Joined: Dec 2, 2012
  Messages: 615
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  Sasa afisa kilimo Dar anafanya nini?, kwa mfano wilaya ya kinondoni.
   
 10. n

  napenda JF-Expert Member

  #49
  Mar 14, 2016
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 495
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Wewe ndo hujui kazi anayo fanya,joo mwanza mi nije dar sehemu yeyote.
   
 11. Lussadam

  Lussadam JF-Expert Member

  #50
  Mar 19, 2016
  Joined: Oct 13, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  AFISA USTAWI WA JAMII:NATAFUTA MTU WA KUBADIRISHANA KITUO CHA KAZI. NIPO WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA NA NIPO TAYARI KUBADIRISHANA NA MTU KUTOKA DAR ES SALAAM, PWANI, MOROGORO, MBEYA, MBOZI NA RUNGWE.
  UKIWA TAYARI TUWASILIANE @ lussadam@gmail.com
   
 12. Mak Jr

  Mak Jr JF-Expert Member

  #51
  Apr 12, 2016
  Joined: Nov 24, 2015
  Messages: 214
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Anasimamia na kuratibu kilimo cha mjini kitaalam wanaita Urban Agriculture.
   
 13. Ruddism

  Ruddism Member

  #52
  Apr 14, 2016
  Joined: Apr 12, 2016
  Messages: 5
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Sure
   
 14. bab-D

  bab-D JF-Expert Member

  #53
  May 6, 2016
  Joined: May 2, 2015
  Messages: 1,150
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wewe ni kuku wa njano, mchawi mkubwa
   
 15. K

  KIBIKIMUNU Senior Member

  #54
  May 11, 2016
  Joined: Mar 16, 2015
  Messages: 107
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  AFISA KILIMO, Njoo Handeni Tanga Nije Kilolo Au Iringa Vijijini.0656959432
   
 16. riltz

  riltz JF-Expert Member

  #55
  May 15, 2016
  Joined: Apr 5, 2015
  Messages: 246
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Asanteni kwa ushirikiano!
   
 17. Mkwala

  Mkwala JF-Expert Member

  #56
  Jun 3, 2016
  Joined: Sep 30, 2014
  Messages: 586
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 80
  Mhandisi wa Kilimo RS aje mkoani Kigoma jamaa yangu aende Pwani,Dodoma,Dar RS Aliyetayari PM upate contact.
   
 18. minuras

  minuras Member

  #57
  Jun 17, 2016
  Joined: Apr 26, 2013
  Messages: 37
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  mimi ni mwalimu wa shule ya Sekondari iliyopo lushoto town centre, nataka kuhamia dsm kikazi, kwa yeyote aliyeko tayari kubadilishana na mimi katika kada ya ualimu basi ajibu uzi huu tutafutane au text kwenye namba hii 0625-866915
   
 19. y

  yudaJ Member

  #58
  Jun 17, 2016
  Joined: Aug 10, 2015
  Messages: 83
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  yaani mimi cjui ntaongea vibaya! maana naona watu wanakujibu ambavyo haipendezi jamani mtu ameomba kubadilishana kama tangazo halikuhusu au hauna njia ya kumsaidia mhusika kwanini umjibu aidha kwa kejeli au kwa kumkatisha tamaa? ushauri wangu wa bure, kama hayakuhusu achana nayo.
   
 20. Askari Muoga

  Askari Muoga JF-Expert Member

  #59
  Jun 19, 2016
  Joined: Oct 22, 2015
  Messages: 6,057
  Likes Received: 4,465
  Trophy Points: 280
  Nipo purambili morogoro afisa kilimo naomba niamishiwe dar es salaam
   
 21. S

  SAMSON MGAYA Member

  #60
  Jul 1, 2016
  Joined: Apr 15, 2016
  Messages: 53
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 15
  Mie Afisa mifugo Halmashauri ya Mji Tarime natafuta mtu yeyote aliyopo Mkoa wa Iringa,Njombe,na Mbeya call me through 0762940676
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...