Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 476
- 1,244
Wizara ipo , mawaziri wapo,wataalamu wa kilimo wapo,maafisa kilimo wapo ila mpaka sasa sijui kazi za wizara hii , tafadhali anayejua kazi ya wizara hii naomba anipe elimu tafadhali
Taasisi zake ni zipi, idara zake ni zipi na jinsi inavyofanyakazi na wakulima
Je maafisa kilimo waliopo kwenye vijiji, kata, Halmashauri wanaajibika kwa nani? Kwa mkurugenzi au kuna kiongozi wa wizara ya kilimo ambaye wanaajibika kwake? Yaani kwa kifupi wapo TAMISEMI au wizara ya kilimo?