Bambalaga01
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 304
- 646
Kada ganiNjoo dar nije ulipo
Kada ganiNjoo dar nije ulipo
Umefanikiwa..?Kuhusu uhamisho wa kubadilishana ,anzisha kama nilivyo onesha katika picha ,,Ingia own exchange request kisha chagua organization kisha halmashauri unayo kwenda ,, jaza taarifa zote kisha save,, itaonekana kama ilivyo hapo no 1,
Hapo sasa watumishi wa idara yako wote walio ktk halmashaur uliyochagua wakiingia kwenye menu ya uhamisho wataliona ombi lako hapo no 2 (incoming exchange request na atakubali hapo na itawaomba kufanya attachments,
Nb: mwenye uwezo wa kusubmit ngazi ya juu ni yule aliyeanzisha mchakato
Angalia email yako.From a friend.
Mimi ni Afsa kilimo II natafuta mtu wa kubadirishana kituo cha kazi yye aje wilaya ya Mleba mkoa wa Kagera, Awe kati ya mikoa ya Mwanza, Mbeya na Iringa.
babilasfikiri@gmail.com
Cheki PMHabari za majukumu,
Watanzania wezangu natafuta afisa kilimo aliyeko kati ya halmashauri za wilaya za GEITA, SENGEREMA, BUCHOSA KAMA yuko tayari ili tuweze kubadilishana naye kituo cha kazi yeye aje halmashauri ya wilaya ya BUKOBA.
Kwa aliyeko tayari ani PM