Ndugu mteja, kutokana na maboresho yaliyopangwa ya mfumo wa TISS kuanzia tarehe 06/12/25 saa 06:00 usiku hadi tarehe 08/12/25 saa 10:00 alfajiri, huduma zote za uhamisho wa fedha au malipo nchini kupitia TISS hazitapatikana. Tafadhali hakikisha unakamilisha malipo yako yote kabla ya tarehe 06/12/25.