Mtoe Nape. Weka Gen. UlimwenguUna maanisha , Nape, Bashe, Mtatiro, Zito, Mnyika na CEO mmoja alimaarufu kama mafuru au Mafruki theni mada unaiweka mezani bila kuwa na upande?? Ongeza list hapo. Hata mimi nitachangia hicho kipindi.
Akishaingia CCM atakua siyo yeye tena. Yale aliyokua anafanya ukayapenda hatayafanya tena. Tumeona kwa akina Kitila mkumbo, kafulila, anna mghwira n.kNamtunuku Shahada ya Heshima.
Napendekeza JPM amueweke kwenye Nafasi flani, Sidhani kama atamuangusha. Tatizo kubwa la Taifa ni Watu wenye fikra safi na endelevu. Pasco anauwezo mkubwa. Nikiambiwa nimtume mtu Kutoka JF aende popote duniani akatuwakilishe kwa Mawazo Wa Kwanza Atakuwa Pasco. Niliwaambia wadau wangu hapa nyumbani nilipokuta wanaangalia kipindi chake cha sabasaba TBC. Nikawatambulisha huyo ni gwiji wa kufikiri huko JF. Hapo katikati alinichanganya kidogo ila namkubali kwa sasa.
CC
Pascal Mayalla
Ni uzee wa heshima tu... Sikupenda kutumia 'mkuu'Tafadhali, haupendi uzee huyo. Pasco ni mutu ya mujini.
Anastahili heshima ingawa hawa ndio wanaofatwa sana na jiwekaka Paskali yuko vizuri
Wewe ndio mpiga porojo.Ni vizuri kuwa na tuzo ya heshima ya wapiga porojo, ila ni vizuri ikatumika kwa wanaostahili.
Kwa upande wa Mayalla hilo halina mjadala kabisa.
Pamoja na kuandika vizuri,ingekua vyema kama ungeweka na link za hizo sred kwenye namba husika ili watu wapate kujikumbusha pasi na shaka.Kwa upande wangu huwa ni vigumu sana kumsifia mtu bila kujiridhisha vya Kutosha,
Nina sababu za msingi za kufanya nimuheshimu nimuangalie kwa Umakini huyu mtu anayeitwa Pascal Mayalla
We unayesoma hapa waweza kuwa unadhani natania lakin nauliza swali,
1. Unakumbuka swali lolote lile aliloulizwa Rais Magufuli wakati wa mikutano wake na waandishi wa habari? Kama walikumbuka ni lipi? Na kwanin usikumbuke ya wengine ukumbuke ilo?
Mi nakumbuka kulikuwa na mwandishi mmoja aliuliza swali kwamba Mheshimiwa ametoa wapi mamlaka ya kukataza mikutano na kuingilia mamlaka nyingine kama Bunge?
Kuuliza swali kama ilo mbele ya jiwe ni risk kubwa mno, nadhani mnajua madhara yake, lakin Pascal Mayalla ni mtu pekee aliyeuliza swali la maana na mkuu akajichanganya,
2. Unakumbuka aliyetabiri au alisema kwamba Magufuli ndo rais ajaye? Ilikuwa mwaka 2014 watu wengi wakiwaza kwa matumbo yao kujazwa na Membe na Lowassa, lakin Huyu alisema japo alificha sababu zake, na alibezwa na kutukanwa,
3. Huyu wajua kwamba aliwahi kudokeza kwenye bandiko fulani kwamba Lowassa akifukuzwa CCM atahamia CHADEMA na watu wakamtukana kwamba nani ampokee fisadi? Lakin ikawa mpaka Leo wako kimya
4. Kuna uzi ameuandika mwaka 2016 kuhus mtatiro kutoweza kutatua matatizo ya CUf na kienda mbali zaid kwamba msishangae hata kabla ya 2020 Mtatiro anaitosa Cuf, watu wakamtukana na kusema anamuonea wivu mtatiro,.leo yametimia,
Kwakweli sijaona mwandishi Pasco Mayalla,
Wapo kina Mzee Mwanakijiji, ila wao staili yao ya kuandika so ya ushauri na maono, na kuuma na kupuliza kama Mayalla,
Maana Mayalla Leo anaweza weka uzi timu Lumumba wakamtukana kweli, kesho akaweka akatukanwa na CHADEMA, yaan ni mwandishi wa hivo hiyo yote ni kwamba anaandika ukweli,
5. Mayalla kuna tunaohisi ni wale watu wa Kijitonyama maana ukitaka habari za ndani zaid muulize Mayalla, anaandika haogopi mtu,
6. Ndugai anamjua sana Mayalla bahati nzuri kwenye kamati iliyomuhoji Bungeni kuna mtu alivujisha siri kwamba Mayalla kawajibu kisomi mpaka wakaanza wao kama wanasikiliza story toka kwake badala ya kumuhoji, na mbali zaid akaongeza marafiki ndani ya kamati ile
Mi nakupa tuzo ya heshima hapa JF bwana Pascal Mayalla popote ulipo,
Nathan JR
Namtunuku Shahada ya Heshima.
Napendekeza JPM amueweke kwenye Nafasi flani, Sidhani kama atamuangusha. Tatizo kubwa la Taifa ni Watu wenye fikra safi na endelevu. Pasco anauwezo mkubwa. Nikiambiwa nimtume mtu Kutoka JF aende popote duniani akatuwakilishe kwa Mawazo Wa Kwanza Atakuwa Pasco. Niliwaambia wadau wangu hapa nyumbani nilipokuta wanaangalia kipindi chake cha sabasaba TBC. Nikawatambulisha huyo ni gwiji wa kufikiri huko JF. Hapo katikati alinichanganya kidogo ila namkubali kwa sasa.
CC
Pascal Mayalla
Naunga mono hoja. Nilitka kuongeza haya maneno nikaona kama nitakoleza sana. Huyu anafaa kuwa RC, MP, waziri, au kama kote hakuna mwanya angalau ubalozi sehemu zenye kuletachangamoto chanya kwa taifa. Maneno haya naandika Bila kujali atakuja kuwa au la. Ila ni asset kwa viwango vya kijf .Ila asikubali u DC. He is too big to be a mkuu wa wilaya or RAS