Hiyo ni kweli kabisa mkuu na mimi namkubali sana! Ila shida kama atapewa posti ukiwa serikalini inabidi ufanye kazi tofauti na unachokiamini na uhalisia, otherwise yatakushinda!Namtunuku Shahada ya Heshima.
Napendekeza JPM amueweke kwenye Nafasi flani, Sidhani kama atamuangusha. Tatizo kubwa la Taifa ni Watu wenye fikra safi na endelevu. Pasco anauwezo mkubwa. Nikiambiwa nimtume mtu Kutoka JF aende popote duniani akatuwakilishe kwa Mawazo Wa Kwanza Atakuwa Pasco. Niliwaambia wadau wangu hapa nyumbani nilipokuta wanaangalia kipindi chake cha sabasaba TBC. Nikawatambulisha huyo ni gwiji wa kufikiri huko JF. Hapo katikati alinichanganya kidogo ila namkubali kwa sasa.
CC
Pascal Mayalla
Simtousahau unafki wake pale viwanja vya nanenane kwenye banda la tcra alivyoichomea Jf. Hakika unafki wake utamfanya atunukiwe tuzo kama muroho alivyotunikiwa UDC baada ya kumchoma manjiii.
Ijamesm aw ubalk ewgnok inihcn?Muroho ndio nani mkuu?Funguka kidogo
Asante mkuu..Ijamesm aw ubalk ewgnok inihcn?
Wewe ndie cheupe wake? Snowhite...maana yake cheupe?..ASIMPE NAFASI YEYOTE!!.
abaki hivi hivi na matangazo yake ya Sabasaba na Nanenane!!
tuzo anayopewa na cheupe wake kila anaporudi nyumbani inatosha!!
Cc Pascal Mayalla
Simtousahau unafki wake pale viwanja vya nanenane kwenye banda la tcra alivyoichomea Jf. ...Nimeunga mkono hoja hii.Lakini sikubaliani kwamba Paschal ni Afisa Usalama.Ana akili sana kuwazidi hao jamaa.Wao huwa ni vilaza sana.Na hawawezi kumtuma awe anatoa siri za namna hiyo.
Umepima mkuu...Pasco nimemfuatilia sana, Uchambuzi wake ni makini, Una maono na anatumia past factual references za kutosha. His analytical skill is of next level. Mada yake ya kwanza niliyomkubali ni ya uwezo wa kufanya muujiza kwamba huo uwezo ni kipawa ambacho Mwenyezi MUNGU kampa kila mtu. Kupitia mada yake hiyo nakumbuka wakati huo nilikuwa naumwa maralia kila baada ya wiki mbili naenda hospital napewa dawa lkn baada ya kufuata kanuni za mayalla sijawahi kunywa dawa ya malaria na hata ikija nasikia dalili kwa mbali lakini wala siifuatilii na dalili zinapotea zenyewe in two or more days.Si uchawi ni elimu tu.
KabisaNamtunuku Shahada ya Heshima.
Napendekeza JPM amueweke kwenye Nafasi flani, Sidhani kama atamuangusha. Tatizo kubwa la Taifa ni Watu wenye fikra safi na endelevu. Pasco anauwezo mkubwa. Nikiambiwa nimtume mtu Kutoka JF aende popote duniani akatuwakilishe kwa Mawazo Wa Kwanza Atakuwa Pasco. Niliwaambia wadau wangu hapa nyumbani nilipokuta wanaangalia kipindi chake cha sabasaba TBC. Nikawatambulisha huyo ni gwiji wa kufikiri huko JF. Hapo katikati alinichanganya kidogo ila namkubali kwa sasa.
CC
Pascal Mayalla
HakikaPaskali kweli ni mtu mwenye maono hasa kwa kuangalia nyingi ya post zake. Hilo la yeye kuwa mtu wa kitengo pia linaweza kuwa na ukweli ndani yake.
La zaidi ninalompendea ni hii tabia yake ya kuitangaza jf kila anapopata fursa. Kwa hili nampongeza sana.