Kuanzia Leo, nampa Tuzo ya Heshima Pascal Mayalla

7. Alitabiri Bashite kuwa RC DSM na ikawa , Japo utabiri wake wa bashite kuwa Rais wa JMT ,2025 Naomba Mungu aepushie mbali kwa hili ,

Maana hata kama Mungu hatupendi watanzania ila itakuwa sio kwa style hiyo

Paskali Mayalla , Namuelewa sana huyu Msukuma mwenye Akili nyingi kama walivyo wasukuma wengi waluoenda shule
Mtu umenichekesha wewe. Eti 'hata kama Mungu hatupendi watanzania lakini si kwa Bashite' Dah jamani JF raha.
 
Paskali kweli ni mtu mwenye maono hasa kwa kuangalia nyingi ya post zake. Hilo la yeye kuwa mtu wa kitengo pia linaweza kuwa na ukweli ndani yake.

La zaidi ninalompendea ni hii tabia yake ya kuitangaza jf kila anapopata fursa. Kwa hili nampongeza sana.
Kwa nafasi aliyokuwa nayo Baba yake kitengoni Pasco anaweza kuwa mtu wa Kitengo. Au ana source za uhakika sana ndani ya Kitengo.
 
Ukitaka kumjua mbaya wako angalia yule anayekuchomea nguru kwa mtawala wako. Mayalla Paskali kakufanyia nini weye ndugu hata unamfitini hadi kwa wasiojulikana? Pole Mayalla, omba radhi kwa huyu jamaa kwani hakutakii mema huyu. Ati upewe taji! Dah! Taji ya miiba au??
Mayala kwa Kijaluo maana yake ni njaa
 
Kwa upande wangu huwa ni vigumu sana kumsifia mtu bila kujiridhisha vya Kutosha,

Nina sababu za msingi za kufanya nimuheshimu nimuangalie kwa Umakini huyu mtu anayeitwa Pascal Mayalla

We unayesoma hapa waweza kuwa unadhani natania lakin nauliza swali,

1. Unakumbuka swali lolote lile aliloulizwa Rais Magufuli wakati wa mikutano wake na waandishi wa habari? Kama walikumbuka ni lipi? Na kwanin usikumbuke ya wengine ukumbuke ilo?

Mi nakumbuka kulikuwa na mwandishi mmoja aliuliza swali kwamba Mheshimiwa ametoa wapi mamlaka ya kukataza mikutano na kuingilia mamlaka nyingine kama Bunge?

Kuuliza swali kama ilo mbele ya jiwe ni risk kubwa mno, nadhani mnajua madhara yake, lakin Pascal Mayalla ni mtu pekee aliyeuliza swali la maana na mkuu akajichanganya,

2. Unakumbuka aliyetabiri au alisema kwamba Magufuli ndo rais ajaye? Ilikuwa mwaka 2014 watu wengi wakiwaza kwa matumbo yao kujazwa na Membe na Lowassa, lakin Huyu alisema japo alificha sababu zake, na alibezwa na kutukanwa,

3. Huyu wajua kwamba aliwahi kudokeza kwenye bandiko fulani kwamba Lowassa akifukuzwa CCM atahamia CHADEMA na watu wakamtukana kwamba nani ampokee fisadi? Lakin ikawa mpaka Leo wako kimya

4. Kuna uzi ameuandika mwaka 2016 kuhus mtatiro kutoweza kutatua matatizo ya CUf na kienda mbali zaid kwamba msishangae hata kabla ya 2020 Mtatiro anaitosa Cuf, watu wakamtukana na kusema anamuonea wivu mtatiro,.leo yametimia,

Kwakweli sijaona mwandishi Pasco Mayalla,
Wapo kina Mzee Mwanakijiji, ila wao staili yao ya kuandika so ya ushauri na maono, na kuuma na kupuliza kama Mayalla,

Maana Mayalla Leo anaweza weka uzi timu Lumumba wakamtukana kweli, kesho akaweka akatukanwa na CHADEMA, yaan ni mwandishi wa hivo hiyo yote ni kwamba anaandika ukweli,

5. Mayalla kuna tunaohisi ni wale watu wa Kijitonyama maana ukitaka habari za ndani zaid muulize Mayalla, anaandika haogopi mtu,

6. Ndugai anamjua sana Mayalla bahati nzuri kwenye kamati iliyomuhoji Bungeni kuna mtu alivujisha siri kwamba Mayalla kawajibu kisomi mpaka wakaanza wao kama wanasikiliza story toka kwake badala ya kumuhoji, na mbali zaid akaongeza marafiki ndani ya kamati ile

Mi nakupa tuzo ya heshima hapa JF bwana Pascal Mayalla popote ulipo,

Nathan JR
Mayalla kwa lugha yetu ya Kisukuma maana yake Njaa
 
Namtunuku Shahada ya Heshima.
Napendekeza JPM amueweke kwenye Nafasi flani, Sidhani kama atamuangusha. Tatizo kubwa la Taifa ni Watu wenye fikra safi na endelevu. Pasco anauwezo mkubwa. Nikiambiwa nimtume mtu Kutoka JF aende popote duniani akatuwakilishe kwa Mawazo Wa Kwanza Atakuwa Pasco. Niliwaambia wadau wangu hapa nyumbani nilipokuta wanaangalia kipindi chake cha sabasaba TBC. Nikawatambulisha huyo ni gwiji wa kufikiri huko JF. Hapo katikati alinichanganya kidogo ila namkubali kwa sasa.

CC
Pascal Mayalla
ASIMPE NAFASI YEYOTE!!.

abaki hivi hivi na matangazo yake ya Sabasaba na Nanenane!!
tuzo anayopewa na cheupe wake kila anaporudi nyumbani inatosha!!
Cc Pascal Mayalla
 
Ni kweli anastahili heshima yake tena ya kipekee...
Ila siku hizi kapunguza kuleta uhondo humu jamvini
 
Namtunuku Shahada ya Heshima.
Napendekeza JPM amueweke kwenye Nafasi flani, Sidhani kama atamuangusha. Tatizo kubwa la Taifa ni Watu wenye fikra safi na endelevu. Pasco anauwezo mkubwa. Nikiambiwa nimtume mtu Kutoka JF aende popote duniani akatuwakilishe kwa Mawazo Wa Kwanza Atakuwa Pasco. Niliwaambia wadau wangu hapa nyumbani nilipokuta wanaangalia kipindi chake cha sabasaba TBC. Nikawatambulisha huyo ni gwiji wa kufikiri huko JF. Hapo katikati alinichanganya kidogo ila namkubali kwa sasa.

CC
Pascal Mayalla
Kuhusu namna gani Pascal Mayalla ni Kichwa sina ubishi. Ila Hapo kwenye kupewa nafasi na jpm no. Tutakuwa tumepoteza km jf na kama taifa. Upo ushahidi wanaoenda kule huacha nyuma akili zao!
 
Nikweli Pascal yuko vizuri, na mwingine ambaye haumiumi maneno ni Mhe Jenerali Ulimwengu. Kwangu mimi Ulimwengu yuko vizuri zaidi!.
 
Kwa upande wangu huwa ni vigumu sana kumsifia mtu bila kujiridhisha vya Kutosha,

Nina sababu za msingi za kufanya nimuheshimu nimuangalie kwa Umakini huyu mtu anayeitwa Pascal Mayalla

We unayesoma hapa waweza kuwa unadhani natania lakin nauliza swali,

1. Unakumbuka swali lolote lile aliloulizwa Rais Magufuli wakati wa mikutano wake na waandishi wa habari? Kama walikumbuka ni lipi? Na kwanin usikumbuke ya wengine ukumbuke ilo?

Mi nakumbuka kulikuwa na mwandishi mmoja aliuliza swali kwamba Mheshimiwa ametoa wapi mamlaka ya kukataza mikutano na kuingilia mamlaka nyingine kama Bunge?

Kuuliza swali kama ilo mbele ya jiwe ni risk kubwa mno, nadhani mnajua madhara yake, lakin Pascal Mayalla ni mtu pekee aliyeuliza swali la maana na mkuu akajichanganya,

2. Unakumbuka aliyetabiri au alisema kwamba Magufuli ndo rais ajaye? Ilikuwa mwaka 2014 watu wengi wakiwaza kwa matumbo yao kujazwa na Membe na Lowassa, lakin Huyu alisema japo alificha sababu zake, na alibezwa na kutukanwa,

3. Huyu wajua kwamba aliwahi kudokeza kwenye bandiko fulani kwamba Lowassa akifukuzwa CCM atahamia CHADEMA na watu wakamtukana kwamba nani ampokee fisadi? Lakin ikawa mpaka Leo wako kimya

4. Kuna uzi ameuandika mwaka 2016 kuhus mtatiro kutoweza kutatua matatizo ya CUf na kienda mbali zaid kwamba msishangae hata kabla ya 2020 Mtatiro anaitosa Cuf, watu wakamtukana na kusema anamuonea wivu mtatiro,.leo yametimia,

Kwakweli sijaona mwandishi Pasco Mayalla,
Wapo kina Mzee Mwanakijiji, ila wao staili yao ya kuandika so ya ushauri na maono, na kuuma na kupuliza kama Mayalla,

Maana Mayalla Leo anaweza weka uzi timu Lumumba wakamtukana kweli, kesho akaweka akatukanwa na CHADEMA, yaan ni mwandishi wa hivo hiyo yote ni kwamba anaandika ukweli,

5. Mayalla kuna tunaohisi ni wale watu wa Kijitonyama maana ukitaka habari za ndani zaid muulize Mayalla, anaandika haogopi mtu,

6. Ndugai anamjua sana Mayalla bahati nzuri kwenye kamati iliyomuhoji Bungeni kuna mtu alivujisha siri kwamba Mayalla kawajibu kisomi mpaka wakaanza wao kama wanasikiliza story toka kwake badala ya kumuhoji, na mbali zaid akaongeza marafiki ndani ya kamati ile

Mi nakupa tuzo ya heshima hapa JF bwana Pascal Mayalla popote ulipo,

Nathan JR
Huyu jamaa ni hatari. Hata Magufuli alimzunguzia kuwa atakuwa Rais, aliandika huo Uzi Mwaka 2015. Kweli jamaa amebobea kwenye Mambo ya Unajimu, sayansi inauyomuwezesha kutambua Nyakati. Bigup Paschal Mayalla
 
Simtousahau unafki wake pale viwanja vya nanenane kwenye banda la tcra alivyoichomea Jf. Hakika unafki wake utamfanya atunukiwe tuzo kama muroho alivyotunikiwa UDC baada ya kumchoma manjiii.
Kumbe Muroho ndiye aliemchoma Kanjibhai! Daaah! Noma sana
 
Back
Top Bottom