Kuanzia Leo, nampa Tuzo ya Heshima Pascal Mayalla

Boss Nathan Jr Jamaa namkubali sana, anajua sana kutumia kalamu yake ya Uzoefu wake wa Habari. Naunga mkono Hoja.

Kwa upande wangu huwa ni vigumu sana kumsifia mtu bila kujiridhisha vya Kutosha,

Nina sababu za msingi za kufanya nimuheshimu nimuangalie kwa Umakini huyu mtu anayeitwa Pascal Mayalla

We unayesoma hapa waweza kuwa unadhani natania lakin nauliza swali,

1. Unakumbuka swali lolote lile aliloulizwa Rais Magufuli wakati wa mikutano wake na waandishi wa habari? Kama walikumbuka ni lipi? Na kwanin usikumbuke ya wengine ukumbuke ilo?

Mi nakumbuka kulikuwa na mwandishi mmoja aliuliza swali kwamba Mheshimiwa ametoa wapi mamlaka ya kukataza mikutano na kuingilia mamlaka nyingine kama Bunge?

Kuuliza swali kama ilo mbele ya jiwe ni risk kubwa mno, nadhani mnajua madhara yake, lakin Pascal Mayalla ni mtu pekee aliyeuliza swali la maana na mkuu akajichanganya,

2. Unakumbuka aliyetabiri au alisema kwamba Magufuli ndo rais ajaye? Ilikuwa mwaka 2014 watu wengi wakiwaza kwa matumbo yao kujazwa na Membe na Lowassa, lakin Huyu alisema japo alificha sababu zake, na alibezwa na kutukanwa,

3. Huyu wajua kwamba aliwahi kudokeza kwenye bandiko fulani kwamba Lowassa akifukuzwa CCM atahamia CHADEMA na watu wakamtukana kwamba nani ampokee fisadi? Lakin ikawa mpaka Leo wako kimya

4. Kuna uzi ameuandika mwaka 2016 kuhus mtatiro kutoweza kutatua matatizo ya CUf na kienda mbali zaid kwamba msishangae hata kabla ya 2020 Mtatiro anaitosa Cuf, watu wakamtukana na kusema anamuonea wivu mtatiro,.leo yametimia,

Kwakweli sijaona mwandishi Pasco Mayalla,
Wapo kina Mzee Mwanakijiji, ila wao staili yao ya kuandika so ya ushauri na maono, na kuuma na kupuliza kama Mayalla,

Maana Mayalla Leo anaweza weka uzi timu Lumumba wakamtukana kweli, kesho akaweka akatukanwa na CHADEMA, yaan ni mwandishi wa hivo hiyo yote ni kwamba anaandika ukweli,

5. Mayalla kuna tunaohisi ni wale watu wa Kijitonyama maana ukitaka habari za ndani zaid muulize Mayalla, anaandika haogopi mtu,

6. Ndugai anamjua sana Mayalla bahati nzuri kwenye kamati iliyomuhoji Bungeni kuna mtu alivujisha siri kwamba Mayalla kawajibu kisomi mpaka wakaanza wao kama wanasikiliza story toka kwake badala ya kumuhoji, na mbali zaid akaongeza marafiki ndani ya kamati ile

Mi nakupa tuzo ya heshima hapa JF bwana Pascal Mayalla popote ulipo,

Nathan JR
 
Pasco nimemfuatilia sana, Uchambuzi wake ni makini, Una maono na anatumia past factual references za kutosha. His analytical skill is of next level. Mada yake ya kwanza niliyomkubali ni ya uwezo wa kufanya muujiza kwamba huo uwezo ni kipawa ambacho Mwenyezi MUNGU kampa kila mtu. Kupitia mada yake hiyo nakumbuka wakati huo nilikuwa naumwa maralia kila baada ya wiki mbili naenda hospital napewa dawa lkn baada ya kufuata kanuni za mayalla sijawahi kunywa dawa ya malaria na hata ikija nasikia dalili kwa mbali lakini wala siifuatilii na dalili zinapotea zenyewe in two or more days.Si uchawi ni elimu tu.
 
Ukweli Pasco yuko vizuri hapa jf, mambo mengine inabidi uchanganye na za kwako, na ndio maana ndungai alimshindwa.
 
Kwa upande wangu huwa ni vigumu sana kumsifia mtu bila kujiridhisha vya Kutosha,

Nina sababu za msingi za kufanya nimuheshimu nimuangalie kwa Umakini huyu mtu anayeitwa Pascal Mayalla

We unayesoma hapa waweza kuwa unadhani natania lakin nauliza swali,

1. Unakumbuka swali lolote lile aliloulizwa Rais Magufuli wakati wa mikutano wake na waandishi wa habari? Kama walikumbuka ni lipi? Na kwanin usikumbuke ya wengine ukumbuke ilo?

Mi nakumbuka kulikuwa na mwandishi mmoja aliuliza swali kwamba Mheshimiwa ametoa wapi mamlaka ya kukataza mikutano na kuingilia mamlaka nyingine kama Bunge?

Kuuliza swali kama ilo mbele ya jiwe ni risk kubwa mno, nadhani mnajua madhara yake, lakin Pascal Mayalla ni mtu pekee aliyeuliza swali la maana na mkuu akajichanganya,

2. Unakumbuka aliyetabiri au alisema kwamba Magufuli ndo rais ajaye? Ilikuwa mwaka 2014 watu wengi wakiwaza kwa matumbo yao kujazwa na Membe na Lowassa, lakin Huyu alisema japo alificha sababu zake, na alibezwa na kutukanwa,

3. Huyu wajua kwamba aliwahi kudokeza kwenye bandiko fulani kwamba Lowassa akifukuzwa CCM atahamia CHADEMA na watu wakamtukana kwamba nani ampokee fisadi? Lakin ikawa mpaka Leo wako kimya

4. Kuna uzi ameuandika mwaka 2016 kuhus mtatiro kutoweza kutatua matatizo ya CUf na kienda mbali zaid kwamba msishangae hata kabla ya 2020 Mtatiro anaitosa Cuf, watu wakamtukana na kusema anamuonea wivu mtatiro,.leo yametimia,

Kwakweli sijaona mwandishi Pasco Mayalla,
Wapo kina Mzee Mwanakijiji, ila wao staili yao ya kuandika so ya ushauri na maono, na kuuma na kupuliza kama Mayalla,

Maana Mayalla Leo anaweza weka uzi timu Lumumba wakamtukana kweli, kesho akaweka akatukanwa na CHADEMA, yaan ni mwandishi wa hivo hiyo yote ni kwamba anaandika ukweli,

5. Mayalla kuna tunaohisi ni wale watu wa Kijitonyama maana ukitaka habari za ndani zaid muulize Mayalla, anaandika haogopi mtu,

6. Ndugai anamjua sana Mayalla bahati nzuri kwenye kamati iliyomuhoji Bungeni kuna mtu alivujisha siri kwamba Mayalla kawajibu kisomi mpaka wakaanza wao kama wanasikiliza story toka kwake badala ya kumuhoji, na mbali zaid akaongeza marafiki ndani ya kamati ile

Mi nakupa tuzo ya heshima hapa JF bwana Pascal Mayalla popote ulipo,

Nathan JR
7. Alitabiri Bashite kuwa RC DSM na ikawa , Japo utabiri wake wa bashite kuwa Rais wa JMT ,2025 Naomba Mungu aepushie mbali kwa hili ,

Maana hata kama Mungu hatupendi watanzania ila itakuwa sio kwa style hiyo

Paskali Mayalla , Namuelewa sana huyu Msukuma mwenye Akili nyingi kama walivyo wasukuma wengi waluoenda shule
 
Hahaha eti Bashite
 
Back
Top Bottom