Kuanzia Leo, nampa Tuzo ya Heshima Pascal Mayalla

Hii ni the best comment kumuhusu Pasco

Namkubali sana pia
Pascal Mayalla is too big,too clever,too wise,too brave and too intelligent kuwa RC/MP/Waziri.
Jamaa ni think tank.Watu kama huyu Pascal na akina tindo,nguruvi3,JokaKuu,shige ni watu wanaotakiwa wawe "nyutro",yaani wasiwe affiliated na chama chochote cha siasa na wala wasiwe kwenye system. Mtu kama Pascal anatakiwa awe ni mwandishi wa makala mbalimbali kwa wingi katika nyanja tofauti tofauti huku akishauri mara nyingi zaidi nini kifanyike,na amini serikali inamsoma zaidi Pascal na kufuata ushauri na mapendekezo yake mengi kimya kimya.
 
Paskali kweli ni mtu mwenye maono hasa kwa kuangalia nyingi ya post zake. Hilo la yeye kuwa mtu wa kitengo pia linaweza kuwa na ukweli ndani yake.

La zaidi ninalompendea ni hii tabia yake ya kuitangaza jf kila anapopata fursa. Kwa hili nampongeza sana.
Ni mtu wa kitengo
 
Huwa namfuatilia sana, naamini wanaomtoleaga maneno yasiyoeleweka huwa hawamuelewi kabisa hasa ukizingatia wengi wa vijana mashabiki hawana muda wa kutumia ubongo vizuri kutafakari mambo
 
Nadhani awe intrumental kwenyekubadili namna ya kufanya siasa Tz, anajua kuuma na kupuliza hivyo hashindwi kumoderate mdahalo, positive. Tumwombe aandae kipindi hicho ili tupate the real people with brain.
 
Pascal ukiona umepewa u-DC auRC, kumbuka kwenda kupata ushauri kwa Generali Ulimwengu, tena ukubali kumlipa consultancy fee ya kutosha.
 
Nataka siku moja aje na uzi wa kuonyesha je lowasa bado ana nafasi ya kugombea tena uraisi 2020. Ni nani mwenye nafasi hiyo, maana nimeona buyungu watu bado wana imani na chadema kumbe kwa mafuriko yale kitu ambacho sikutegemea
 
Back
Top Bottom