Kuanzia Leo, nampa Tuzo ya Heshima Pascal Mayalla

Kuanzia Leo, nampa Tuzo ya Heshima Pascal Mayalla

h
Pascal Mayalla.

Kule mjengoni uliwapigisha pindi la masaa kuanzia 4 na kuendelea hadi wakaamua kuikalia ripoti uvunguni?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ni jambo jema sana kama ushawaambia ukweli na hadi sasa nadhani washakoma kufanya maamuzi bila kujiridhisha na kila jambo wanaloliona/kulisikia ama likiwa linawahusu au la
ivi ukiitwa kama vile Dodoma.... gharama za nauli, malazi na muda ni juu ya nani?
 
Sijui mkuu.

Ila mimi nafikiri kwa kuwa ukiitwa ni kmaa mtuhumiwa, kwa hiyo lazima uende kwa namna yoyote ile
najaribu kuwaza kwamba Dodoma sio sawa na kituo cha Police Central... upo Bunju.. unaambiwa urepot... mf unaitwa Dodoma afu upo Dsm.... ukiwaomba wakutumie nauli... itakuwa makosa.... mana hujakataa wito isipokuwa huna nauli... na wale wanaokuita kule wana posho zao!
 
najaribu kuwaza kwamba Dodoma sio sawa na kituo cha Police Central... upo Bunju.. unaambiwa urepot... mf unaitwa Dodoma afu upo Dsm.... ukiwaomba wakutumie nauli... itakuwa makosa.... mana hujakataa wito isipokuwa huna nauli... na wale wanaokuita kule wana posho zao!
Hili jambo ni vyema Pascal Mayalla atuweke wazi lakini sidhani maana alishawahi kusema hawezi kuzungumzia jambo la kuitwa mjengoni mbali na kusema tu alienda na alihojiwa
 
Nadhani JF muanzishe tuzo za watu wenye michango iliyotukuka itawafanya watu wafanye bidii kuleta story za maana na ushauri mzuri for the future of our country...

So Pascal Mayalla we ni sheikh yahya wa JF na vyama vya siasa na siasa zake za hapa kwetu Tanzania.

Ila jiwe atakasirika kusikia jamaa kutengeneza marafiki ndani ya ile kamati..
 
Mkuu Pascal Mayala ni kada mtìifu wa lumumba ila ana hofu ya Mungu kidogo anapenda haki na ukweli tofauti na lumumba wenzie ambao wao ni kusifu tu,ni mwandishi mzuri sana lkn kuna siku aliniuzi sn alikua TBC akawa ana muhoji sijui Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi NEC kabla ya huyu mpya mayalla alisema "sasa hakuna ubishi kumbe ukweli magufuli alipata kura million 8 na ndo raisi wa Tz hao wengine waendelee na rais wao wa moyoni ila rais wa URT ni mmoja tu magufuli nyie ambao hamridhiki endeleen na rais wenu wa moyoni"sasa nikajiuliza ana conclude kama nani ?au na yeye amejipa mamlaka ya kimahakama..kipindi kile lkn ndo ilikuwaga kipindi cha tumbua tumbua sasa sikujua nini kilimpata maana sijamuona tena TBC
Hahhaaa, imebidi nicheke tu
Itakuwa kahamia TBC 2
 
Naunga mono hoja. Nilitka kuongeza haya maneno nikaona kama nitakoleza sana. Huyu anafaa kuwa RC, MP, waziri, au kama kote hakuna mwanya angalau ubalozi sehemu zenye kuletachangamoto chanya kwa taifa. Maneno haya naandika Bila kujali atakuja kuwa au la. Ila ni asset kwa viwango vya kijf .
Pascal Mayalla is too big,too clever,too wise,too brave and too intelligent kuwa RC/MP/Waziri.
Jamaa ni think tank.Watu kama huyu Pascal na akina tindo,nguruvi3,JokaKuu,shige ni watu wanaotakiwa wawe "nyutro",yaani wasiwe affiliated na chama chochote cha siasa na wala wasiwe kwenye system. Mtu kama Pascal anatakiwa awe ni mwandishi wa makala mbalimbali kwa wingi katika nyanja tofauti tofauti huku akishauri mara nyingi zaidi nini kifanyike,na amini serikali inamsoma zaidi Pascal na kufuata ushauri na mapendekezo yake mengi kimya kimya.
 
Back
Top Bottom