Wengi wanajua kitimoto ni nyama nguruwe asili ya neno kitimoto ni nyakati zile akiendesha kipindi kwenye TVBila kusahau huyu jamaa ndo mwasisi wa neno KITIMOTO. Enzi hizo alianzisha kipindi kilichokuwa kinaitwa kitimoto kwa ajili ya kuhoji viongozi 'live' na kilikuwa kikirushwa na DTV