Kuanzia Leo, nampa Tuzo ya Heshima Pascal Mayalla

Kwa upande wangu huwa ni vigumu sana kumsifia mtu bila kujiridhisha vya Kutosha,

Nina sababu za msingi za kufanya nimuheshimu nimuangalie kwa Umakini huyu mtu anayeitwa Pascal Mayalla

We unayesoma hapa waweza kuwa unadhani natania lakin nauliza swali,

1. Unakumbuka swali lolote lile aliloulizwa Rais Magufuli wakati wa mikutano wake na waandishi wa habari? Kama walikumbuka ni lipi? Na kwanin usikumbuke ya wengine ukumbuke ilo?

Mi nakumbuka kulikuwa na mwandishi mmoja aliuliza swali kwamba Mheshimiwa ametoa wapi mamlaka ya kukataza mikutano na kuingilia mamlaka nyingine kama Bunge?

Kuuliza swali kama ilo mbele ya jiwe ni risk kubwa mno, nadhani mnajua madhara yake, lakin Pascal Mayalla ni mtu pekee aliyeuliza swali la maana na mkuu akajichanganya,

2. Unakumbuka aliyetabiri au alisema kwamba Magufuli ndo rais ajaye? Ilikuwa mwaka 2014 watu wengi wakiwaza kwa matumbo yao kujazwa na Membe na Lowassa, lakin Huyu alisema japo alificha sababu zake, na alibezwa na kutukanwa,

3. Huyu wajua kwamba aliwahi kudokeza kwenye bandiko fulani kwamba Lowassa akifukuzwa CCM atahamia CHADEMA na watu wakamtukana kwamba nani ampokee fisadi? Lakin ikawa mpaka Leo wako kimya

4. Kuna uzi ameuandika mwaka 2016 kuhus mtatiro kutoweza kutatua matatizo ya CUf na kienda mbali zaid kwamba msishangae hata kabla ya 2020 Mtatiro anaitosa Cuf, watu wakamtukana na kusema anamuonea wivu mtatiro,.leo yametimia,

Kwakweli sijaona mwandishi Pasco Mayalla,
Wapo kina Mzee Mwanakijiji, ila wao staili yao ya kuandika so ya ushauri na maono, na kuuma na kupuliza kama Mayalla,

Maana Mayalla Leo anaweza weka uzi timu Lumumba wakamtukana kweli, kesho akaweka akatukanwa na CHADEMA, yaan ni mwandishi wa hivo hiyo yote ni kwamba anaandika ukweli,

5. Mayalla kuna tunaohisi ni wale watu wa Kijitonyama maana ukitaka habari za ndani zaid muulize Mayalla, anaandika haogopi mtu,

6. Ndugai anamjua sana Mayalla bahati nzuri kwenye kamati iliyomuhoji Bungeni kuna mtu alivujisha siri kwamba Mayalla kawajibu kisomi mpaka wakaanza wao kama wanasikiliza story toka kwake badala ya kumuhoji, na mbali zaid akaongeza marafiki ndani ya kamati ile

Mi nakupa tuzo ya heshima hapa JF bwana Pascal Mayalla popote ulipo,

Nathan JR
Watu wa usalama taifa wanampa siri.Mbona mimi nilijua tangu 2015 baada ya uchaguzi kuwa Bashiru atakua katibu mkuu ccm.Ukiwa na mtu huko waweza jua hata ya 2025

Pascal Mayalla
 
MAANA YA MAYALLA kikwetu ni NJAA
 
Mimi mbona nayaona anayoandika ni ya kawaida kwa mtu yoyote mwenye akili ya kawaida? Hivi jinsi wanasiasa wetu walivyo wachumia tumbo utashangaa mwanasiasa yoyote kuhamia chama chochote? Yaani kama alisema Mtatiro atahama na akahama ndiyo umemwona siyo wa kawada! Really! Na Lowassa nayo kwenda Chadema ilikuwa ngumu kutabiri? Nadhani wewe ndiye asiye na akili za kawaida! Watu kama nyie ndiyo mnaofanya wanasiasa na waganga wa kienyeji kuneemeka!
 
Kwa upande wangu huwa ni vigumu sana kumsifia mtu bila kujiridhisha vya Kutosha,

Nina sababu za msingi za kufanya nimuheshimu nimuangalie kwa Umakini huyu mtu anayeitwa Pascal Mayalla

We unayesoma hapa waweza kuwa unadhani natania lakin nauliza swali,

1. Unakumbuka swali lolote lile aliloulizwa Rais Magufuli wakati wa mikutano wake na waandishi wa habari? Kama walikumbuka ni lipi? Na kwanin usikumbuke ya wengine ukumbuke ilo?

Mi nakumbuka kulikuwa na mwandishi mmoja aliuliza swali kwamba Mheshimiwa ametoa wapi mamlaka ya kukataza mikutano na kuingilia mamlaka nyingine kama Bunge?

Kuuliza swali kama ilo mbele ya jiwe ni risk kubwa mno, nadhani mnajua madhara yake, lakin Pascal Mayalla ni mtu pekee aliyeuliza swali la maana na mkuu akajichanganya,

2. Unakumbuka aliyetabiri au alisema kwamba Magufuli ndo rais ajaye? Ilikuwa mwaka 2014 watu wengi wakiwaza kwa matumbo yao kujazwa na Membe na Lowassa, lakin Huyu alisema japo alificha sababu zake, na alibezwa na kutukanwa,

3. Huyu wajua kwamba aliwahi kudokeza kwenye bandiko fulani kwamba Lowassa akifukuzwa CCM atahamia CHADEMA na watu wakamtukana kwamba nani ampokee fisadi? Lakin ikawa mpaka Leo wako kimya

4. Kuna uzi ameuandika mwaka 2016 kuhus mtatiro kutoweza kutatua matatizo ya CUf na kienda mbali zaid kwamba msishangae hata kabla ya 2020 Mtatiro anaitosa Cuf, watu wakamtukana na kusema anamuonea wivu mtatiro,.leo yametimia,

Kwakweli sijaona mwandishi Pasco Mayalla,
Wapo kina Mzee Mwanakijiji, ila wao staili yao ya kuandika so ya ushauri na maono, na kuuma na kupuliza kama Mayalla,

Maana Mayalla Leo anaweza weka uzi timu Lumumba wakamtukana kweli, kesho akaweka akatukanwa na CHADEMA, yaan ni mwandishi wa hivo hiyo yote ni kwamba anaandika ukweli,

5. Mayalla kuna tunaohisi ni wale watu wa Kijitonyama maana ukitaka habari za ndani zaid muulize Mayalla, anaandika haogopi mtu,

6. Ndugai anamjua sana Mayalla bahati nzuri kwenye kamati iliyomuhoji Bungeni kuna mtu alivujisha siri kwamba Mayalla kawajibu kisomi mpaka wakaanza wao kama wanasikiliza story toka kwake badala ya kumuhoji, na mbali zaid akaongeza marafiki ndani ya kamati ile

Mi nakupa tuzo ya heshima hapa JF bwana Pascal Mayalla popote ulipo,

Nathan JR

Mayalla ni role model wangu mkuu! Heko kwake
 
Back
Top Bottom