Kwani kwetu ni wapi?mimi siyo mzaramoUmefuata nini huko wewe!! Rudi kwenu!! Tena haraka!!
NdioKwahiyo unasema wazee wa Lumumba ndo think tank yake? Ndo wamempa hata ya mtatiro?
HUYO HAKUNA CHA TUZO WALA NINI ANATAFUTA UDC TUNaunga mkono. Huyu jamaa anastahili tuzo maalum ya JF. Inabidi kubuni aina ya tuzo.
Mkuu una hakika lakini? Maana siku hizi tunazidi kufahamu jinsi giza lilivyokuwa nene.HUYO HAKUNA CHA TUZO WALA NINI ANATAFUTA UDC TU
Kwenu kaskazini au na wewe umehama kama Mh. Mtatiro??Kwani kwetu ni wapi?mimi siyo mzaramo
IgogoMkuu una hakika lakini? Maana siku hizi tunazidi kufahamu jinsi giza lilivyokuwa nene.
IgogoKwenu kaskazini
IgogoKwenu kaskazini au na wewe umehama kama Mh. Mtatiro??
Hicho siyo kiswahili, labda kisukuma?Igogo