Unaugulia utumwa wa ajira ukiwa wapi?Mmesoma course hazina kichwa wala miguu mnaanza kusema kuajiriwa ni utumwa kwasababu tu hamuwezi kupata ajira tena na hamna matumaini.
Mlikimbia Shule maisha yamewatia kila sehemu, mnasingizia eti kuajiriwa ni utumwa kwasababu tu mnajua hamna elimu.
Nyie endeleeni kuteseka kujiajiri sisiemu wanafurahi kuona mnhangaika kazi yao kuwatungia majina ya Maafisa usafirishaji, Machinga, Maafisa lishe, nk.
Mtu umefungua kibiashara uchwara cha laki5 au million eti unasema kuajiriwa ni utumwa, wakati hata hela ya fremu ya mwezi 1 tu huna MATAKO YAKO.
Mimi nipewe hiyo ajira hata leo sitakataa maana waliojiriwa wanafaidi nchi kwa mishahara ya bure kazo yao kuamka asubuhi na kwenda kupiga stori ofisini
Ni wanaona kawaida tuMm kazi ambayo uwezi kukua , innovation , rewards na kuongeza kipato aj kunegotiate na mwajiri ni kupoteza mda labda kuwe na allowance nzuri na mipigo tele , sasa una mshahara chini ya milion kwa miaka mitatu hela ikiongezeka hata laki moja aifiki na mtu unakuta yupo comftable kabisa ,hell no lazima uchunguzwe kwanza
Kazi gani unabanwa masaa yote kiongozi??Laki saba ya kutengeneza ukiwa una free time ya kui expand ni bora kuliko ya ku banwa masaa yote
Au sio, biashara haihitaji uwepo wako??Kazi ya kuanzia saa1 mpk saa 11 ni kifungo...
Biashara inaweza kuwa ya passive income ww unakuwa umelala yenyewe inajiendesha
Tatizo ni KUFANYA JAMBO LILE LILE HADI MIAKA 60?Na huu ndo ukweli Mchungu...
Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego.
View attachment 3641392
Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60.
Hapana kwa kweli, mimi sio mmatumbi mjinga.. I need to wake the *** up and find something worth dying for.
Ndugu zangu ambao mpo complacent na kuajiriwa hivi huwa mnajisikiaje?