Pesa anayopata hapo anaweza anaajiri wengine. Endelea kumhurumiaNahurumia sana manager wangu, anatumia nguvu kubwa juhudi na maarifa yake kwenye kazi za watu. Ila naamini angejiajiri yule angefik mbali sana
Ubaya wa hizi kazi Zina kumaliza on all levels of existenceHakuna kazi Nzuri kama ya kufanya ukiwa na uhuru sio usimamiwe na bosi au fomen.
Hata Mimi nilichoshwa na hayo maisha nimeamua kuingia mtaaani Sasa nipo HURU.mungu ana bless
Hakika, ila wengi wetu huwa tuna kuwa paralyssed by kuogopa risk. Naamini mtu akipata mfumo mzuri na akajua namna ya kutengeneza pesa hata kama sio nyingi ambapo anza nakuahiidi hawezi shawishika kurudi kwenye msoto wa kuajiriwaKujiajiri ni kukomaa mpaka mwisho kunataka uvumilivu, juhudi, nidhamu ya pesa, ubunifu na kujifunza. Huwezi bora uajiriwe
Kujiajiri ukizembea kidogo tu unaanza kwenye zero!! hakuna mambo ya warning letter
YesHapo kwenye kufanya jambo lilie for than 30 years inachosha, inaboa
Ndio maana wazungu wanajua Sana kutumia holiday
Manager wako!Nahurumia sana manager wangu, anatumia nguvu kubwa juhudi na maarifa yake kwenye kazi za watu. Ila naamini angejiajiri yule angefik mbali sana
Madhara ya nakuja endapo utachukua risk usiyoiweza. Sasa how Can you attend 2 masters at once alafu utegemee kutoboa.Ungeona waliojiajiri wanavyoteseka usingesema huo ujinga.
Kila kitu kina faida na hasara, inategemea umeajiriwa na nani au umejiajiri kwenye shughuli gani.
Mtu anajenga lodge, hotel, apartment kwa pesa ya kuajiriwa leo hii ionekane muuza kabeji ni bora kuliko employee 😭😭😭😭.
Mimi nimeajiriwa na ninafanya biashara, Dar nina maduka mawili. Biashara inazeesha , inachosha na haina pensheni.
2016/2017 wafanyabiashara tulikutana na shetani Magufuli. Watu wengi walikuta na wengine kurudi bush