Kuachwa kunauma jamani


rahisi ivyo?????????????
 
Watu wa namna hii waache waende zao tena kwa wemaa...kuwa muungwana kwake ile mbaya...halafu baadae litakapo geuka huko alipo...akikujia mkubali na wewe muache kama alivyokuacha wewe....Atasikilizia utamu...atalia kuliko wewe

mmmmh dua la kuku!!!
 
Donatila achana naye asikuchanganye my dear anza maisha. Usiogope songa mbele.
 
Bwana wanaume ndio mara nyingi wanaanza. Ila inauma jamani, kwanini mnapenda kutuumiza. Ukipata tu kitu kipya changes zinaanza fasta hata kuficha ficha, Jaribuni kuwa wabunifu.

hatupendi kuwaumiza ila nyinyi hamsomii mazingira na nyakat.
Sio kila mahusiano mwisho wake huwa ndoa.

Kama mtoa maada analalamika lakn kumbe ktk mda wote huo hapakuwa na makubaliano ya ndoa,.

Jambo lingne nyinyi wenyew kuna sehem mnakuwa chanzo
 
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF

ushauri wangu utapata ulopangiwa na Mungu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…