Gololi One
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 575
- 365
pole sana kuanza upya si ujinga achana nae malipo ni hapa hapa
Tena kabla jua halijazama.
pole sana kuanza upya si ujinga achana nae malipo ni hapa hapa
Miss u
Pole dada mm ndo ctak hata kuwackia hao yan nlitendwa nkaumwa nkahc kufa
Mwache aende zake let him go for good, hawa viumbe ni viumbe wazito, yaani hawa bebeki kwa khanga,kitenge wala kaniki yaani sawa na zigo la mavi hata ufanyeje litatoa harufu tu.
ni nyie kwa aslimia 80 na ishiri ni ni wanawake
enh wife bila shaka hapo hujanijumuisha na mimi...
Miss u
Mwache aende zake let him go for good, hawa viumbe ni viumbe wazito, yaani hawa bebeki kwa khanga,kitenge wala kaniki yaani sawa na zigo la mavi hata ufanyeje litatoa harufu tu.
yani weweeeee
Nimekumithi pia jaman.... we nae unajifichaga
Miss u more mamy
njoo kwangu mtoto mzuri enheee
huyo alikuwa hakupendi
mimi nitakupenda milele daima
Hope uko poa