Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,217
Ushauri wa nini tena wakati amekwisha kujibu live kuwa ana msichana mwingine. Wewe lala mbele,otherwise utaendelea kuwa mchepuke wake,
teh nlikua nafikiria jibu kama lako...
Ushauri wa nini tena wakati amekwisha kujibu live kuwa ana msichana mwingine. Wewe lala mbele,otherwise utaendelea kuwa mchepuke wake,
Hahahha ila hata sifiki, labda atansaidia na kunifikisha uko
kubali tu yaishe ndiyo viumbe hawa .. wewe hukuona dalili za kuachwa? wala usilazimishe mwache aende tena mwache kabisa wala usijutie hata kidogo mshukuru Mungu kukuepushia ushwetwaini wa huyo mwanaume .....
kuumia itauma ila mwache nasema tena mwacheeee kula raha bibie wala usiwaze....
tena mwambie sikupendi
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF
moyo u radhi lakini mwili ni dhaifu
wamefanyeje? Mbona mm umenipga changa la macho lakn nmenyamaza?
ndiyo unataka nimpe moyo wa uongo kwamba ajipendekeze au alazimishe au alielie hakuna hiyo kitu ukiachwa tafuta njia nenda unakuwa na alternative ya haraka sana
akomae tu najua now atakuwa nalia balaaa ila ndiyo kashaamua tu nenda mwana kwenda
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF
Watu wa namna hii waache waende zao tena kwa wemaa...kuwa muungwana kwake ile mbaya...halafu baadae litakapo geuka huko alipo...akikujia mkubali na wewe muache kama alivyokuacha wewe....Atasikilizia utamu...atalia kuliko wewe
Usilie wala nini kwani maisha bila yeye hayaendi? Ndio amekupotezea muda ila usijali jipange upya achana naye.
kwani amekwambia amengonoka? ukoje wewe?Ukome kufanya ngono kabla ya ndoa. Amekukomesha kweli. Tulia sasa, subiri upate mwanaume wa kufunga ndoa.
Talking from exprience enh!!! kwani na we ulilia kipind kile
ulishagegedwa wewe imekula kwako nani kakwambia upanue miguu wakati hujaolewa.
kwani amekwambia amengonoka? ukoje wewe?