Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
haha kwenye siasa nikafanye nini wakati wale wana lumumba woote hawajaukwaa udc wapo kimyaaaa hawana sera kabisa bora nipige porojo maana j3 ya leo nipo hoi konyagi imanikomesha kazi natega mpaka hangover iisheha ha ha ha
Nilijua tu uzi kama huu siwezi kukukosa aiseee.
Warefu wanahitaji ku deal nao kwa akili, vinginevyo unaweza tia aibu aisee.