Kuacha utani wanawake warefu ni wazuri sana

Kuacha utani wanawake warefu ni wazuri sana

Habari wakuu.

Wakuu kusema ukweli wanawake warefu wanaukonga sana moyo wangu. Wanawake wafupi itokee tu basi, ila moyo wangu hasa unavutiwa sana na wanawake warefu.

Mwanamke mrefu hasa ukitembea nae njiani unajisikia ufahari. Mimi wanawake wafupi na wasio na mikia inatokea bahati mbaya tu vile nakua sina ramani yoyote kama vile simba akiishiwa nyama hula majani.

Salute kwenu wanawake warefu.

Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binasfi na sio kumkshfu mtu yoyote.
Ange Kagame!
 
Hata kupitia maoni yako ambayo unaona ni bora kwa namna moja au nyingine huathiri mwingine hilo liko wazi so acha kujitetea tea
Hata kupitia maoni yako ambayo unaona ni bora kwa namna moja au nyingine huathiri mwingine hilo liko wazi so acha kujitetea tea
Huyo hajijui,anaogopa kukashifiwa huku tayari amekwisha wakwaza wengine,eti wafup yeye huwa inatoke kwa tabu akizidiwa,so hao wafupi aliowaumba kakosea?,ila hana experience na vimwana huyo.
 
Inamaana wanawake wakienyeji sio wazuri ?

The ndi ndi ndi, yoli ndiiiiiiiii
 
Nasikiaga wanawake warefu wana papuchi ndefu pia.

Inaonekana una gegedo refu mno we jamaa si bure.
Kuna demu mmoja nilishawah kumtongoza alikuwa ni mwanafunzi alikuwa ni mrefu na mweupe siku ya ku do nae nilijishtukia mapema mtoto wa watu nilimchafua bure kichwani nikawa nimesha panga plan b 7bu nilikuwa nimesha fail mwisho nikachomoa fasta na kumpa hela ambayo sikuwa nimetarajia kumpa ili kuzipa aibu! Hadi leo mademu warefu sina ham nao
 
Teh teh..Bora aisee..Mana siku hiyo nakuona upo high table na andunje..Ntakupa msonyo wa kinigeria mwenyewe ushangae
Hahaha rafiki zangu sasa siwapatii picha, maana wananijua na babes warefu.

Teh daddy unadhani ntawajali nyie sasa, yani kaandunje kangu kila nikitembea nako ntakashika mkono, ntakaflauntije sasa. Mtakoma na roho zenu
 
Back
Top Bottom