Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,519
mmmmmh!!
Hahaha rafiki zangu sasa siwapatii picha, maana wananijua na babes warefu.
Teh daddy unadhani ntawajali nyie sasa, yani kaandunje kangu kila nikitembea nako ntakashika mkono, ntakaflauntije sasa. Mtakoma na roho zenu