Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

Jamani miaka 50 ya Uhuru watanzania sasa tunapendeza.. Jamani wamependeza.. Kwato ukwatuliwe.. Pesa hapo imetumika kumlipua Mtu .. Wewe unazo? Mbahili kazi kumezea mate vilivyokwatuliwa Na wenzio .. Mwaya mmependeza.. Michipsi Kwa sana ., hunha!!
Ama kweli hizo kwato
 
Always I will remind you that "we have guided missiles but we have mis-guided men"

Take care...........Graveyards!
 
IMG_2901.jpg

"Kwetu pazuri nimeshapakumbuka, ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu, kwa amani na furaha tena ya ajabu, sipati picha kwa watakao fika kwetu mbinguni 2x".

"Hii dunia imejaa shida, kama hujui nenda hospitali ukaone..."

Mpendwa njoo urudi nyumbanii, asubuhi yaja tuyakimbie ya dunia, atayekosa hapo kweli ni hasara, haya matatizo ni mitego ya shetani, ili tushindwe kufika nyumbani, kwetu pazuri lakini kwa Jina, Jina la Yesu tumemshinda tunaenda!"
 
Ivi mfano ukakutana na mtu kama uyo anatembea ukaamua kuivuta juu iyo nguo ili na chupi ionekane utakuwa umekosea?
I cant imagine 2100 watu watakuwaje nadhani wataanza tembea na chupi tuu as mapaja yatakuwa yashazoeleka
 
halafu picha zenyewe wako sehemu za starehe, nadhani ni mahala pake, wewe ulifata nini huko
wangekuwa wanatembea hivyo sokoni ndo ningeshangaa
 
huo ni ushamba na ulimbukeni, kina dada badilikeni na mjiheshim

Nani amekwambia kwamba heshima ipo kwenye kufunika mapaja? Acha mawazo yako hayo weweeee.

Wakivaa baibui mnawaita alqaeda, wakivaa vimini, hawana heshima?!!! He sasa wafanyeje.

Tuachieni mapambo yetu wanaume tujiinjoy bana! eeeh
 
"Kwetu pazuri nimeshapakumbuka, ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu, kwa amani na furaha tena ya ajabu, sipati picha kwa watakao fika kwetu mbinguni 2x".

"Hii dunia imejaa shida, kama hujui nenda hospitali ukaone..."

Mpendwa njoo urudi nyumbanii, asubuhi yaja tuyakimbie ya dunia, atayekosa hapo kweli ni hasara, haya matatizo ni mitego ya shetani, ili tushindwe kufika nyumbani, kwetu pazuri lakini kwa Jina, Jina la Yesu tumemshinda tunaenda!"

teh teh teh uncle...,,
 
Biashara matangazo bana watanunuaje wasipoona !
 
Hawa ni Freemason....huwezi kuvaa nguo fupi namna hiyo kama sio Freemason.:A S cry:
 
biashara matangazo...amevaa nyeusi:hatari::hatari:
 
Back
Top Bottom