Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

unaweza kusema ni fasheni kutegemeana na mtazamo wako. Lakini tuseme ukweli tusipindishe maneno, tumeliwa, shetani amewafunga magoli. Huu ni ujinga ni sawa na mtu kusema anafuga jini, mwanadam anaweza kufuga jini au yeye jini ndilo linafuga watu. Kuna watu wameamua kujitoa kwa shetani.
 
Hakuna mwenye uzuri wa asili hapo wooote wamejaradia.......
 
duuh watapongundua tumeisha yachoka hayo mapaja sijui kinafuatia nini kuonyeshwa......!!!!
 
Wacha picha ziongee

mtoto+wee.JPG



mapaja+mtoto.JPG


Hakiamama hii nimeipenda sana!
 
I see The Second Law of Thermodynamics at work. It's getting hot in heeeeerrr.
 
kweli nimeamini panua paja mti waja.............. wakipanua paja lililonyauka mti hauji
 
Kaka Hongera sana, kazi ya kukusanya takataka zote hizi ni ngumu sana. Kila moja na jalala lake. Mhh
 
Ila kwa wale "wahuni" wanaochoma makanisa na Al-Qaida, Al-Shabab na Boko Haramu wanaojilipua wakienda "Akhera" wanakwenda kupewa walembo saba kuzidi hawa na sir god wao kama zawadi! Mbigu zingine utata mtupu bora ubaki hapahapa "guniani"!
 
Back
Top Bottom