Mabinti wanaokaa peke yao wanaongoza 'kujibaka'

Mabinti wanaokaa peke yao wanaongoza 'kujibaka'

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
3,382
Reaction score
13,382
Hiki kizazi aisee kina mengi.

Binti kaumwa kazidiwa kumbe ni pumu, purukushani za kutafuta dawa zake zikaanza, kufungua huku na kule mara paah kimfuko kizuri kama vile vya wanavyowekewa wakienda kununua vitu kwenye maduka makubwa ya fashion wacha kidodoke.

Kijimfuko kilikua na madubuwana hatari. Dubuwana moja lina ends mbili limejikunja na lina button na type C port. Hadi dushe linapindapinda kama mpira lilikuwepo humo

Hii dunia isimame sasa ni balaa
 
Back
Top Bottom