Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Allien, May 18, 2012.

 1. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Wacha picha ziongee

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  biashara matangazo mkuu
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  sasa huo mkono kauweka hapo wa nini? p1
   
 4. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Biashara ni Matangazo Mkuu
   
 5. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  picha ya pili kwapani naona km kuna rangi nyeusi sn sijui ni nn hiyo
   
 6. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mr Rocky matangazo ya nini Mkuu? Ngo? Mapaja? Swagga? Au nini hasa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mkuu Gwankaja Gwakilingo kwani vipi Mkuu? Nazungumzia kuacha mapaja nje unazungumzia mkono? Swalama kweli?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ta Kamugisha, funguka mkuu, chezesha taya usomeke kiurahisi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  lutayega wewe unafikiri ni nini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  swalama kabisa Comrade my take hilo ni tatizo kubwa thus why akaweka mkono hapo,hayupo comfortable kabisa na hiyo fusion yake our siste wanamambo makubwa sana Comrade hope umenikamata sasa Comrade
   
 11. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Vinyago vya mpapule!!!!!
   
 12. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Ayaaaaaaa
   
 13. k

  kagame Senior Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Biashara matangazo ila je ubora wake upoje! Sioni ubora wala kiwango cha bidhaa hii.
   
 14. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Jamani miaka 50 ya Uhuru watanzania sasa tunapendeza.. Jamani wamependeza.. Kwato ukwatuliwe.. Pesa hapo imetumika kumlipua Mtu .. Wewe unazo? Mbahili kazi kumezea mate vilivyokwatuliwa Na wenzio .. Mwaya mmependeza.. Michipsi Kwa sana ., hunha!!
   
 15. N

  Nyuki baby Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wananitamanishaaa!! Nina miez 3 sijaona iyo ki2 kabisa yaani!!
   
 16. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 17. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 18. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  "Mwigizaji maarufu wa filamu nchini Richie Rich, hivi sasa amejipanga katika ujio wa filamu yake mpya ya Uyoga,ambayo amekutanisha warembo ambao huenda hujawahi kuwaona katika filamu yoyote. Nifilamu ambayo wamejaa wasanii ambao wengi ni wale wanaochipukia na kutokea sehemu mbali mbali kama Miss Kinondoni mwaka 2011 Stera na Miss Arusha mwaka 2011 Aisha. Pia nimekutana na watu ambao huwa napenda sana kuona kazi zao kama Recho na Libert"

  Source:
  bongo unit

  Warembo wenyewe ndo hawa walioachia mapaja:


  [​IMG]

  Picha ambayo warembo,ambao wakiwa kwenye chumba chao wakijipaka Make up kwaajili ya kuingia mzigoni.
   
 19. B

  BLB JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ngoja nikaoge tena,
  hey wher iz ma soap
   
 20. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Miss Kinondoni Stera na Miss Arusha Aisha

   
Loading...