Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

Kuacha Mapaja Nje Ni Fashion?

huo ni ushamba na ulimbukeni, kina dada badilikeni na mjiheshim
 
mapaja+mtoto.JPG


Libert
 
mkuu unanifurahisha yani kuacha mapacha nje ndo wamekuwa warembo, mbona wamechoka
 
duh ndo wanafanya wanaume wawawa chape na kutupa mbali bt wanakera na hata hawavutii siwapendi ata kidogo.
 
Kazi ipo kweli kweli! Sijui ni ulimbukeni au kwenda na wakat? Kujivunjia heshima hata ni kama kwenda na wakati. Mwili wa mwanadamu ni hekalu la Bwana. Tuitunze na kuiheshimu miili yetu.
 
sasa kuna wengine wanavaa kanga bila password.
Ila me ndo ninapoamin kwamba wanawake wazee wete walikua wanaakiri kuwanyima some of their right ni w afupi wa kufikiri mambo wanafanya kipumbavu.
 
walewale!!!! What is the motive behind your thinking and actions? Business? Mke wa mtu anayejiheshimu anaweza kupiga picha za utupu namna hiyo akaweka mahali? lazima suala la biashara linahusika! Ukimwi utaisha kwa njia hii? eeh! Mama nanihii Hebu nitafutie kiboko cha mti mbichi pale nje, hasa cha mpera! leo watanikoma!!!! simama hapohapo, unakimbia nini eeeh! nasema simama!
 
Unapatikana wapi maana nina soda yako. Natamani kusikia wanawake kama huyu wanaomtunzia heshima hata mama yangu! nauliza tena unapatikana wapi upate soda yako!!!!
 
Back
Top Bottom