Wanacopy kila kitu kutoka kwa wazungu bila kuangalia athari zake!Yaani ukoloni hauwezi kuisha Africa maana dada zetu bado ni watumwa kifikra toka kwa wazungu.Shame on them!!
Kwakweli hao kina dada ni warembo sana, ni mtazamo wangu tu.
Kinachonitia shaka ni kwamba, kwa kuwa wamevaa wenyewe na hawajavalishwa iweje wanajitahidi kuziba ziba kwa kukaa upande upande, mwingine ameweka mkono, wengeine huweka mikoba? Au mnamtega jembe letu Rich Richie nn?
Jiachieni tu kina dada zetu msiogope ss hatutaichukua tutaangalia tu. Allien, Huyu dada wa mwisho aliyevaa nyeusi na maduara meupe kwa kweli amenikuna sana, ndio mrembo wangu wa wiki. Naweza kupata contact zake pls? Mine is grafani11@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.