Mkuu ukiangalia hizo hisa utakwama kwenye tope hawa jamaa wamegawana pesa siyo zao na bado wanadaiwa Bilioni 15 na Tanesco, sijui kama umenielewa ndiyo maana Takukuru na CAG wameingia kwenye ili sakata.sijakupata you mean sing sethi kajiuzia mwenyewe hisa zake au? twende taratibu, swali langu ni hili:
james rugemalira had 30% of IPTL, 70% zilikuwa za nani? Mbona yeye aliyemuuzia sethi 30% anaitwa "mwizi" lakini aliyemuuzia sethi 70% hata kutajwa ni nani hatajwi?
Rugemalira kalipwa september wakati pesa za escrow zimetolewa december
FACTS:
1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.
MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.
Mkuu kutetea kote huko unaweza kukuta hukuambulia hata elfu10 ya vocha.Rugemalira kalipwa september wakati pesa za escrow zimetolewa december
Huna ulijualo katafti ndio ulete uzi wako sawa!!unafikri km zingetoka mfukoni mwa singasinga ungesikia story ya JR???
Na kingne kuzitoa huko zlikua ndo maana kashirikisha wez wenzie kuwagawia mgao.
Za Kagame
Wewe zuzu kaa pembeni kama huna shughuli kasikilize gachacha
FACTS:
1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.
MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.
FACTS:
1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa PAP.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya PAP kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.
MASWALI:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na PAP hizo hisa kama wangeafikiana bei! PAP wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? IPTL sio kampuni ya umma, PAP sio kampuni ya umma, VIP sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona Rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa James Rugemalira upo wapi.
Na kama alimuuzia pap itakuwaje malipo akachukue Za escrow?
Ana kesi ya kujibu
hapo kwenye ununuzi wa hisa ndipo kwenye wizi mkubwa hakuna hati halisi za hizo shere certificaties walifanya udanganyifu mkubwa zilizuiwa na mahakama, na kwenye kodi walitoa nyaraka za uwongo kukwepa kodi.
Kosa lake jingine ni kuwahonga majaji wa mahakama kuu na waziri mmoja wa serikali katika malipo ambayo yanatia shaka saaaaanaaa!
Wewe utakuwa mtoto wa rugemalila uliyepewa 800 ml kwenye mgawo ndiyo maana unamtetea baba yako mwizi wewe
Hakuna fedha zimetoka escrow zikaenda kwa JR!
Bora mngekaa kimya tu kwenye ili mnazidi kumzamisha jamaa yenu.
James Rugemalira wa VIP Engineering and Management (VIPEM) na Harbinder Sing Sethi, wa Pan Africa Power (PAP) kwa kushirikiana na viongozi wa serikali wameitapeli na kuibia serikali fedha zote zilizochukuliwa toka akaunti ya Tegeta Escrow.
Mkuu kaa kimya.
...facts:
1. James rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya iptl kupitia kampuni yake ya vip. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya iptl kihalali kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza wa pap.
2. James rugemalira aliuza hizo share zake kwa kampuni ya pap kwa dola milioni 75. Uuzaji wa hizi hisa ulifuata taratibu zote kisheria including ulipaji kodi.
Maswali:
1. Huyu ndugu anaitwa mwizi kivipi? Amelipwa fedha kutokana na kuuza hisa, tatizo liko wapi hapo? Kisheria angeweza kumuuzia yoyote yule tofauti na pap hizo hisa kama wangeafikiana bei! Pap wamefikia dau na yeye kawauzia, where is the problem hapo? Iptl sio kampuni ya umma, pap sio kampuni ya umma, vip sio kampuni ya umma. This is purely a private sector transaction. Mbona rostam aliuza share zake vodacom kwa mabilioni tena kupitia nje ya nchi lakini hakuitwa mwizi (kwa kukwepa kodi among other things), badala yake akasherehekewa kwa front-page news? Naomba kufahamishwa kwa hoja tafadhali, uharamia wa james rugemalira upo wapi.